@radiomariatanzania: Picha mbalimbali zinamuonesha Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa`ichi OFMCap, akizika Masalia ya Mtakatifu Paulo wa Msalaba katika Altare ya Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Toma wa Akwino, Kipunguni. Madhehebu hayo ya kuweka wakfu yalifanyika wakati wa Misa Takatifu iliyoadhimishwa Parokiani hapo Jumapili, Julai 12, 2026, na kuhudhuriwa na waamini wengi pamoja na viongozi mbalimbali wa Kanisa, akiwemo Padre Vincent Lawrence Mpwaji, Askofu Msaidizi Mteule wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Wakuu wa Mashirika ya Kitawa, Mapadre, Masista na Waamini kutoka ndani na nje ya Parokia hiyo. www.radiomaria.co.tz #RadioMariaTz
Radio Maria Tanzania
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 09:38:05 GMT
Music
Download
Comments
Yonathan :
Wooooooow Mungu mkuu ahimidiwe kwakuwa Tunabarikiwa na maombezi ya Mtakatifu Paulo Wa Msalaba
2026-07-16 16:46:36
0
Charlesi wa Moshi :
ameni
2026-07-16 15:47:09
0
user9506955127108 :
🥰🥰🥰
2026-07-16 16:36:13
0
dotto nyakato :
🙏
2026-07-16 20:10:04
0
To see more videos from user @radiomariatanzania, please go to the Tikwm
homepage.