@divathebawse: Ujumbe Wangu Kuhusu Bella Niko kazini na ninaendelea kufanya wajibu wangu wa uandishi wa habari. Siogopi suala lolote, kwani ninaamini nilichofanya kilikuwa ndani ya misingi ya taaluma. Iwapo unaona kuna sababu ya kwenda mahakamani, uko huru kufanya hivyo hata leo. Mahojiano yetu yalirekodiwa na nimeyachapisha kwa uwazi bila kuficha chochote. Kile kilichopo ni mazungumzo yako mwenyewe, hivyo ukweli utaendelea kujieleza. Na kama changamoto ni gharama za usafiri wa kwenda mahakamani, hata nauli ya Bolt nipo tayari kukutumia. Sina hofu na niko tayari kwa mchakato wowote wa kisheria.

Divathebawse
Divathebawse
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 09:54:16 GMT
112074
5090
196
64

Music

Download

Comments

photographerabc
lion photographer :
Diva Diva naomba ninunue soda tuh japo unauwezo wa kujinunuliwa
2026-07-16 10:32:38
67
faiza_ally5
Faiza Ali :
Tunasubiria posti ya Cheti cha ndoa dada
2026-07-16 15:28:43
65
bifaiza.maeda
bimzuri :
yule hamnazo tu!
2026-07-16 11:34:16
29
ramingostor
RAMINGO STORE :
Diva Bella niwahuki kwetu burundi minalijua saana hilooo li dada
2026-07-16 17:40:28
18
pudaman
Pudaman :
Subiri kusifiwa basi mwanetu
2026-07-16 15:19:46
11
ashdachaafricas
ASHDACHA TZ :
ila we mdada ni mzuli sana
2026-07-16 10:23:15
8
ussain_1
ussain_1 :
you are very intelligent..God will bless you for uplifting Sheikh Walids dignity
2026-07-16 19:40:04
9
1234nataria
Nataria Devid :
wew dada napenda unavojiamini japo kuna mda watu wanakujia juu endlea
2026-07-17 04:04:41
4
mr.noname390
Mr. Noname🙅‍♂️--- :
nimeenda kupima DNA serekalini nikaambiwa hakuna mtoto ambaye hana wazazi😳🥺
2026-07-17 06:55:54
8
tumaa111
❤️🥀🤍 :
Hatakama awemwanawe hawezi kumzalilisha sheikh wetu
2026-07-16 18:39:24
12
mrsuleiman0
#Bin$uleiman og :
umeongea kweli diva
2026-07-16 10:29:03
7
rukiya.ahmed42
Rukiya ahmed :
asante dada mungu akubariki🥰🥰🥰
2026-07-17 11:54:10
1
zay_beaty_zone
Zay_Beauty_zone :
ila diva mzuri jamani
2026-07-16 13:01:58
8
user3612180017675
Yosefu :
Naona watakatifu ni wengi.
2026-07-16 23:28:31
2
tatu.mwarabu80
Asma Disney 💞 :
kwa kweli mungu atakujaalie diva mashallah
2026-07-16 16:12:50
5
ashaally513
Triple A🤍 :
Hongera Diva😘
2026-07-17 08:16:37
2
nasra.hamza1
Nasra Hamza :
nakupenda bureee🥰
2026-07-17 14:33:05
1
quranikareem2
hamadisalum🇹🇿 :
kweli kweli
2026-07-16 19:22:00
0
minaachocolate
minaachocolate :
Nimependa ulivofanya Divaa
2026-07-16 12:46:46
11
kimnanah071
Kimnanah🤗 :
Kwa hili mama umeweza nimefurahi sana👏👏
2026-07-17 13:39:31
3
maalim.dunia
maalim dunia :
Ila Kuna cha kujuliza mim naona
2026-07-16 13:29:03
1
raniya164
RANIYA💞 :
dada asante
2026-07-16 18:18:06
3
mjiuwat.a.tz
MJIU WA T.A.TZ :
Assalaamu alaykum, Dada Diva nimekupenda kwaajili ya Allah kwa jitihadazako juu ya kumtetea SHEKHE kwa ushahidi wa wazi🙏
2026-07-17 11:40:57
3
bimkali_
Bimkali :
Aaahhh bwana Diva nimekupendaaa,umem bana vizuri😂 mburudi anakutisha mtanzania,hii ni maajabu😂😂😂
2026-07-16 23:10:07
4
recho.goda
Recho Goda :
nakukubali nami nilisema yaani yy mgeni anatishia wenyeji mtihani sana
2026-07-17 12:50:15
2
To see more videos from user @divathebawse, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About