@emmanuel.page5: Kwaajili ya elimu😇…follow for more💯🍿

EMMANUEL🌎
EMMANUEL🌎
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 10:23:58 GMT
47235
1965
95
39

Music

Download

Comments

hamadsheni
Hamad Sheni :
Sheria ya usalama barabarani. Road traffic act cap 168. Imetoa haki ya kushitakiwa.
2026-07-16 15:17:04
17
alexkaovela341
Alex Kaovela :
bro Emanuel ninashida nanambayako
2026-07-16 19:08:27
4
apostleshadrac5
Apostle Shadrack (Man Of God) :
Yan kila nikiwa nakusikiliza huwa nakusikiliza kwa umakini sana kwa sababu una kitu ndani yako una elimu kabisa
2026-07-16 11:17:45
8
nellly_255
ruby :
Ni ajali Kama ajali zingine jamanii kwani Ni ajali ngapi tunazoziona huku mitaani jaman watu wanaacha njia
2026-07-16 19:06:45
2
yahyakuchao
Kuchao_255 🇹🇿🫶 :
Hii nchi sheria zipo kwa Raia tu, ila serikali haina sheria yyt wanafanya na kuamua watakavyo maana Mahakama ni yao pia.
2026-07-16 10:55:17
13
simom.donant
simom donant :
mkuu ivi mtu akiwa anakudai je polis wanauwezo wa kuamua kesi
2026-07-16 10:40:44
13
kingmachokaa
Simith :
Hv Traffic na police kuna wa kumshtaki mwingne?
2026-07-16 17:14:45
7
saidyramakacheche
kacheche :
👍 nice
2026-07-16 11:17:41
1
ashleybintsuleyman
ashleybintsuleyma :
waliopewa dhamana kusimamia sheria ndo wanavunja sheria
2026-07-16 16:05:55
3
opobo.w
Opobo :
Kitu nimekuja kujua kumbe Sheria ni kua na hayo mavitabu tu🤣🤣
2026-07-16 11:36:13
3
malcolm.levery
@..Pablo :
Jeshi la polisi lifungwe 😂😂
2026-07-16 11:11:49
3
jumaathumani39
Juma Athumani21 :
alafu wanasema madereva lory wanasababisha ajal
2026-07-16 18:03:43
1
sing_tst
Singh_255 :
hapa tanzania lugha mama ni ipi..?
2026-07-16 15:30:45
4
user9615591357712
Mwamba92 :
ila bro unatufingua sana juzi nimembana mtendaji kwa vifungu vya sheria akakasirika😊
2026-07-16 17:36:37
0
outside_shellyone_tz
SHELLY_ONE _PHOTOGRAPHY 🇹🇿 :
sasa walioweka hizo Sheria ndio waliozivunja Kuna nn hapo 😂😂😂😂
2026-07-16 17:14:43
0
zeb_tr
Tani kim :
Polisi ndio wanaotakiwa kufata sheria, they should be prosecuted 🥺
2026-07-16 10:53:02
0
mudy.muzungu31
Mudy Muzungu 🤫 :
apo ndio tanzania
2026-07-16 15:35:04
1
biggy5809
biggy :
Sheria za tanzania ni kwaajili ya raia wasiojiweza tuu sio polisi wala serikali
2026-07-16 11:35:42
1
malanihenry
MALANI..FRYMAH.... :
upo vizuri
2026-07-16 11:40:23
1
user34229767353496
salum kilongoji :
uko vizuli na sante kwa darasabzuri..
2026-07-16 20:39:07
0
nyereremchomvu27
nyerere chugaa :
serekali ichukuliwe hatuwa akuna cha images
2026-07-16 20:27:41
0
user7608003805972
yustina severin :
magari mengi ya serikal hayafwati sheria
2026-07-16 20:24:47
0
user69453440616182
Rona RD :
Hakuna MTU yeyote Alie juu ya shelia
2026-07-16 20:23:53
0
tembajr0
Vance V :
hizi notes muhimu sana
2026-07-16 11:00:20
0
To see more videos from user @emmanuel.page5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About