Dadiiii is confuziiiiiiiiiiii😂😂😂😂mimi hoiiiii waifuuuu
2026-07-16 11:19:48
1
Ziada Francis Fambo :
🤣🤣🤣🤣 dad's nat ok🤣🤣🤣🤣
2026-07-16 18:43:58
0
Mrs.tonny💍❤ :
hii nayo aina come back🤣
2026-07-16 19:32:16
0
Marabela :
Da v fungua group la Whatsapp, maana Mambo ni mengi
2026-07-16 10:35:21
41
kelvincelvinmoxhy :
mimi naomba mungu mke wangu asijue hii page yako
2026-07-16 11:09:33
30
happy G :
Mimi wangu amejaa kiburi hata ujue Nini hajali heri yenu nyie hata wanajuaga kuomba misamaa Mimi ndo kwaza akikosea hata nyumbani haonekani Yani inakuwa kosa juu ya kosa
2026-07-16 10:56:33
18
naijawife3024 :
Waifuuuuuuuuuuuuuuuuu
2026-07-16 19:07:43
0
Nuru Essence🌸 :
Daddy is confused😂😂😂🤣
2026-07-16 16:52:28
3
Sisco Fatio :
dada nakupenda mm Yan unvaa uhusika 😂😂😂🙌
2026-07-16 10:37:34
21
gregory9355 :
labda sio huyu wangu alivyo na kiburi 🤣
2026-07-16 10:35:03
6
zaynah 💓 :
Kuna watu mlikua mnasubiriaa sehemu ya waifuuuuuuuu🥺jamaan waifuuuuuuuu😅😅😅
2026-07-16 14:13:22
8
frida peter :
yan mi uku nacheka kwa sautiiii
2026-07-16 10:41:21
7
gee baby 💜 :
wife eeeeh weeee🤣🤣🤣
2026-07-16 10:57:13
5
diron mom :
toyota
2026-07-16 12:03:46
0
Shadmaya Jaffar :
🤣🤣🤣🤣 mapigo ni mangapi?
2026-07-16 14:31:33
1
Theo :
Nimecheka hadi naulizwa unacheka nini😂😂😂😂
hii nimeipenda mno
2026-07-16 13:05:21
9
❤️❤️ :
😁😁 Yaaan unavyo Cheka wewe na mmi ndio nachekaa nyieeeee😂😂😂 ❤️❤️❤️sana sanaaa
2026-07-16 10:55:13
6
UMMY QALBY 🫀❤️ :
jmn nimewah leo🥰🥰😂
2026-07-16 10:28:17
5
Gladness Gasper :
Ila jamn najifunzag meng sn
2026-07-16 15:27:24
2
dorah1630 :
mama biligita ongezea maneno yakooo😂😂😂
2026-07-16 14:48:06
3
MIN MIKELL HOME DECOR :
Nasikia raha mimi 😂😂😂
2026-07-16 15:58:47
1
Emilianamasita :
hahahaha haki viva nimechek Kam mwehu
2026-07-16 11:15:21
1
🥰FAFEA_TRENDS! :
hapo kwenye waif sasa pakianza mie mbavu sina😂😂😂
2026-07-16 14:51:43
3
To see more videos from user @mirrsviva, please go to the Tikwm
homepage.