hii ya leo umeweka ushabiki mzee hatuna cha kujifunza
2026-07-16 11:01:56
38
userherrhy :
bro hiyo video haina uhusiano wowote na ushauri wako , na huo ndo mpira reaction kwa wachezaji zipo ,kwahy acha kututisha . toa motivation zako ya idea nyingine
2026-07-16 13:29:02
11
Noely Mathias :
duu kweri umeongea pointi sana
barikiwa ndugu hakika umetoka funzo
2026-07-16 11:17:17
8
Mr_Outfits :
Kaka tunajua wewe ni Argentina 🇦🇷🙌🏾
2026-07-16 13:32:24
3
DIZZOO®💥 :
MBNA JAMAA AJAONGELEA USHABIKI
2026-07-16 15:25:40
2
wabulu03 :
Jude siyo mkorofi bana acha ushabiki Mzee. endelea kutushauli lakini
2026-07-16 12:10:25
2
HWM📖MOYOSAFI❤ :
kumuelewa huyu mpaka una roho mtakatifu, kaka umetisha sana🥰
2026-07-16 14:23:03
9
Elite :
mda mmwingine hata mwalimu anaweza tumia mfano usio halis kuufikisha ujumbe, kikubwa ujumbe umefik
2026-07-16 15:03:21
1
Baadru__ :
kama una mkubali messi gonga like
2026-07-16 18:33:37
8
JÄGÚÅR TÃLK :
fact San bro
2026-07-16 10:40:50
4
John Desylver :
kaka naelewa unachosemaaa lakn Messi cyo mfalme wa soka🤣
2026-07-16 21:25:20
0
jaydan :
apo ni kweli mkuu umeongea sana messi anatoa funzo kwenye mpira namaisha
2026-07-16 17:11:48
3
2ppaTz :
Argentina 🇦🇷 Anachukua Kombe La Dunia Mara Ya Pili Mfululizo.
2026-07-16 17:29:55
1
Deevany tZ005 :
bro watakuelewa wachache sana umetishaaaaa sana
2026-07-16 16:22:05
2
user84166619602887 :
tulio elewa ujumbe wako tusikate tamaa tujuane
2026-07-16 19:53:57
1
user2017999511336 :
kweli kweli
2026-07-16 11:48:58
1
monster :
washabiki wa Ronaldo hawawez kukuelewa 😁
2026-07-16 16:29:01
2
Agard :
it's just football reactions if never played football you will not understand
2026-07-16 21:09:41
1
@robynnko11 :
saf sana mess ni mfano usiwadharau waliokuzidi
2026-07-16 13:36:47
1
jåmës :
we vep hizo ni emotional za mpira.
2026-07-16 15:20:22
1
joseph :
Leo umefelii kaka Jude hajazarau anapambania timu yakee ulitaka ampigie magotii
2026-07-16 16:57:22
1
Petro Zakariya :
sahihi kabisa
2026-07-18 21:41:36
0
ابنو موسا :
kweli kk
2026-07-16 10:34:37
0
To see more videos from user @kenny_lifeteller0, please go to the Tikwm
homepage.