@miladu_tv: TAHAFE: Shirikisho linalosimamia na kuratibu taasisi zinazohusika na safari za Hija na Umrah nchini limetoa orodha ya majina ya Taasisi yenye dhamana na ruhusa ya kusafirisha watu Hijja na kuepukana na matapeli. -----Naibu Katibu wa TAHAFE, Sheikh Muhammad Ali Mshangama #MiladuUpdates #miladutv #babdeoMiladu

Babdeo Miladu
Babdeo Miladu
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 10:52:37 GMT
5083
134
1
5

Music

Download

Comments

amina..ahmedi2
Amina.ahmedi2 :
bakwata hatuitaki tena Hadi shekhe walidi arudi
2026-07-16 11:20:25
0
To see more videos from user @miladu_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About