@masagati162: Nchi yangu fahari yangu, najivunia kuwa mtanzania kisiwa cha amani na utulivu, amani inaanza na mimi na wewe, amani ni urithi wetu, amani ni tunu yetu watanzania #jukumulakulindaamaninilakilamtanzania #nchiyangukwanza #Tanzaniakwanza #kazinaututunasongambele