@emmanuelkonda89: Miaka yote wakisema ‘hajawahi kuprove Premier League.’ Sawa, lakini alipokutana na England kwenye Kombe la Dunia, alionyesha kwa nini anaitwa Lionel Messi. Hakuhitaji kucheza England ili kuonyesha kwamba angeweza kuitawala pia. 🇦🇷👑🐐. #Messi #LionelMessi #GOAT #Argentina #WorldCup2026
oya mnatukela mnaomchukia messi, only a incredible goat 🐐, never happens fans like him
2026-07-17 07:34:07
0
jojo_123 :
wanapend san kuisifu lig ya england ion
2026-07-16 13:45:03
4
kelvin jully :
umekosea ambaye hafananishwi na kitu chochote ni Mungu tu so Messi
2026-07-16 15:08:11
4
Kabir Katial :
Messi the goat
2026-07-16 19:48:45
1
bandit 097 :
good boi
2026-07-16 13:09:36
0
max :
Wanaosema Messi ajaprove kwenye EPL hao wameanza kufatilia Mpira juzi.na hawajui kua Messi kazifunga timu za big 5 za EPL goli nyingi kuliko Ronaldo ambae kacheza ligi ya EPL
2026-07-17 00:11:02
1
𝑩𝑨𝑩𝑨. 𝑴𝑬𝑺𝑺𝑰 (10) :
jamaaa ikifika dk 80
2026-07-17 07:15:05
3
Mr hardwork🇹🇿 :
Messi kazifunga big five za EPL haitaji kuprove tena kama angewaburuza EPL
2026-07-16 13:33:51
11
Mr code 17 :
waambie wakawaulize man u 2011 watajuwa messi ni nan man u ya moto
2026-07-17 08:29:38
1
josephchristophe86 :
kucheza na England huwezi kulinganisha na kucheza ligi ya England
2026-07-16 14:44:29
1
The unicorn :
Kaka APL sio hao unajua epl ya vijana team ndogo kaka
2026-07-16 14:09:47
1
dele :
kwani Kuna michuano Gani migumu inayoizidi michuano ya would Cap
2026-07-17 11:19:03
0
Andre Maham :
nakukubali sana
2026-07-16 12:40:58
4
mrs hussein org :
wanaosema ivo awajui mpira
2026-07-16 20:20:48
1
Ma strategies 😎😎 :
we mpira unamjua kk
2026-07-16 19:10:01
1
KHHR :
Liverpool hatumo sisi
2026-07-16 16:58:20
1
EMMANUELY JR :
hahahah ni messi
2026-07-17 22:18:29
0
Yussuf Ayuu :
Ume msahau Bruno na mainno saliba tonali
2026-07-17 12:36:20
0
manuboy :
mess akisema awaoe wanaomkubal
wanangu wataleft Weng maan sifa anazopewa sio za Nchi hii
2026-07-17 20:21:37
0
ushindiamsi :
mbn hakuenda huko epl
2026-07-17 19:14:45
0
lema :
timu ya taifa au ligi🤣🤣
2026-07-18 05:35:53
0
user9620796261539 :
2026-07-17 20:43:44
0
KyroLX :
2026-07-17 19:47:47
0
To see more videos from user @emmanuelkonda89, please go to the Tikwm
homepage.