@willingtonewangila: SABCRYNNSK CHURCH TO THE WORLD 🌎#christianity #dontgiveup #followerstiktok #highlight #tiktok @Green Yellow Cross Church ⛪️ @Tajiri wa malimili
waluya wanamake moves this round ata politically naona both govnt na opposition wataeka waluya as running mates..ile kutega both sides vile mlima walfanya 2022..its their time to shine
2026-07-18 15:41:07
1
Dan Rotich33 :
Huu ni mwaka wa Waluhya kiukweli
2026-07-17 18:46:39
302
kooli :
kwani kuna mwenye hajui kiluhya hapa....si translator akae chini 🤣
2026-07-17 15:01:23
226
Kennedy Njenga :
mbona wanasema maembe??
2026-07-17 16:36:56
113
Stacie🇯🇲 :
Na nlijua tu mtasema tu ni waluya😂😂😂
2026-07-19 12:29:52
5
George Baro :
hiyo yote ni salamu
2026-07-18 16:50:27
8
MUTANA_JNR_004🇰🇪🇰🇪 :
Kuna wenye si waluhya kweli huku
2026-07-16 13:20:19
42
𝕊𝔸𝕍𝔸𝕃𝔸 𝔹ℝ𝕀𝔸ℕ™️ :
Jina ya kanisa nikaa imeandikwa in rusian😂
2026-07-17 20:03:35
10
norris🤩 :
ukisahau kitu ulikua unasema unaanza tu kusema mirrembe
2026-07-17 15:55:44
14
izaack_isaah :
someone to tell me when the greetings ended
2026-07-18 20:15:27
5
peshie💫 :
mbona watu wamejipanga hivo,,,ama ni leaders wengi
2026-07-17 15:55:20
6
kr7 :
Sasa kanisa zitakuja ata na majina azieleweki sabcccrrrrr what 😂
2026-07-16 20:59:01
13
To see more videos from user @willingtonewangila, please go to the Tikwm
homepage.