sasa izo bezi za marekani zilikuwa kubwa kuliko nchi ya irani kirasiku wanazipiga na aziishiii
2026-07-16 18:57:13
1
Dr. Mtauni :
Na Iran Ishasema Haisimamishi Vita Sasa Mpaka Kieleweke Kushinda au kushidwa ☺️
2026-07-16 21:06:07
2
John Lampard :
uwe una taja na tarehe ya siku unapo elezea maana tunaangalia habari za miezi 8 lakini na sikia leo hii leo nitarehe ipi
2026-07-17 08:52:15
0
oscaredward731 :
kaka tunapenda kufatilia uchambuzi wako lakn hauanndiki tarehe ili mtu anaeingia kwenye pege yako ajue hiyo crip ya muda gani na ndio manaa ukiangalia wachambuzi wengine wanaanndika tarehe ili iwe lahisi kujua crip ni mpya au ya zamani
2026-07-17 00:58:47
0
KING SELLA TZ :
2026-07-17 06:06:56
0
Alldo. :
shekh WALID arudi
2026-07-17 10:23:43
0
goodlucky :
we shida yako huwa uweki wala kutaja tarehe
2026-07-17 06:45:14
0
Abdul :
noma sana
2026-07-17 01:21:06
1
Baba Johnson :
wejidanganye izo zinazamishwa zote
2026-07-17 10:01:55
0
Simeon mogravic 🪖🪓 :
zikipigwa wanajenga Tena
2026-07-16 19:30:16
0
Salum Bakari :
weka taree kwenye tarifa unazo toaa
2026-07-17 14:20:36
0
ngogwe star :
👍👍👍
2026-07-17 07:21:34
0
Saidi Irakoze :
😂😂😂
2026-07-17 09:03:05
0
To see more videos from user @goalquiver, please go to the Tikwm
homepage.