@nyundotv:

NYUNDO TV
NYUNDO TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 12:54:41 GMT
54137
2982
116
129

Music

Download

Comments

ummuyaa1
ummuyaa1 :
Exactly
2026-07-16 15:53:08
0
alchemywhispers9
Alchemy Whispers :
true. waliqnza na kishki but they failed
2026-07-16 18:42:34
0
gadolee4
Gado Lee :
hakuna Cha mpango Wala nini mnasahau TU kuwa mashekh pia ni binadamu wanakosea pia na hiyo Mikasa sio nyie TU ata sisi tinakutana nayo
2026-07-16 15:45:50
11
maryamjoharamani
Maryam Johar Amani :
msijitetee mashekh wengi wazinifu
2026-07-16 18:40:26
3
abdalahsharifu679
Abdalah Sharifu :
mashekhe siwezi kuwaafiki kwa kumuondowa shekhe walidi kwenye wadhifa wake
2026-07-16 15:54:23
5
sieyger89
GLUCKSIEGER🍀🔪 :
Me naamin Allah anakuandaa shekh walid kweny safari yeny mafanikio zaid man mung anakupa ugumu na wepesi mbele yake inshallah
2026-07-16 18:04:27
15
stanley.sixbetus
Stanley Sixbetus :
nabii SULEIMAN alikuwa na wake 700 michepuko 300 huyo nabii tuelewane hapo je mimi na wewe tunatoboa
2026-07-16 15:55:32
3
noorke213
aziz :
mashallah sheikh Allah awape subra inshallah tuwapenda San
2026-07-16 16:49:42
4
rayfin0
Rayfin :
kwaiyo hao watu wanawatongozea
2026-07-16 15:57:53
1
user42807444130903
Latifa :
umeongea kwl shkh
2026-07-16 15:18:59
5
mariammsuya45
Mariam Msuya :
kwani nyie hamjui kama kunamipango
2026-07-16 17:31:18
0
mr_fit15
mr_fit💪🇹🇿 :
kweli kabisa inavyo onekana kuna mipango maana uchaguzi unakuja
2026-07-16 16:20:11
5
adam701868
Adam :
ndio wale wale
2026-07-16 19:20:41
0
abudunur0
Abudunur :
2026-07-16 16:25:24
1
usefabas_255
FABAS :
😭😭😭Nusra Yarrbi
2026-07-16 18:59:38
1
mariamahmed83773
MARIAM AHMED KHALFANI :
walidi kazini
2026-07-16 19:50:45
1
user9990788231165
user9990788231165 :
Ni kweli hata mimi nimehisi hivyo sheikh wanguuu
2026-07-16 18:45:20
1
halimakimwery
halimakimwery :
kwetu kuna shehe wetu alisingiziwq mimba yani kuna rafiki yangu alikua mjamzito na hakuwahi kutembea na huyo rafiki yangu ila watu wakalazania kusema mimba niyshehe nachoka mimi na waliokua wanayazua hayo ni wale ambao walikua hawamkubali maana walifanya mengn wamtoe kwenye nafasi yake walashindwa
2026-07-16 16:19:09
1
latifah4.salim
Latifah4 salim :
Allah awape subra amina awalinde na mabalaa
2026-07-16 14:57:37
1
mrs.jemii
miss jy❤️❤️💙💜 :
kweli kabida
2026-07-16 13:01:20
1
user4621796608795
user4621796608795 :
ki kweli
2026-07-17 13:38:00
0
idass3
idass3 :
next
2026-07-17 12:36:50
0
user8603773408450
Lavidavy235 :
DNA
2026-07-17 07:55:49
1
masterplan159
master plan :
MASHEKHE NAOMBENI MUSHEE KWA WINGI ILI WAISLAMU WENGINE WAPATE TAARIFA YA MANUFAA
2026-07-17 09:32:58
0
haji19917
user4735622511495 :
shehe huuo ndio ukweli Kuna mambo Yana pangwa uhaakika
2026-07-17 13:28:00
0
To see more videos from user @nyundotv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About