@ustadhwatanzania: #fyp #virl #for #ustadhwatanzania

USTADHI WA TANZANIA
USTADHI WA TANZANIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 13:48:10 GMT
196026
12104
330
90

Music

Download

Comments

bilali.ramadhani0
Bil@l🇹🇿 :
ostadh
2026-07-19 09:40:59
1
krisskihombo
CRISS AGENT CARGO🇦🇪🇦🇪 :
bilakuchoka
2026-07-19 20:45:49
0
emmanuelgaspar06
Lemi :
hutakiwi kushuka na gear ndogo unatakiwa kushuka na gear kubwa kwani gear namba moja mbili na tatu hizo ndio gear kubwa
2026-07-17 00:54:58
62
daudijohn232
gambalagushi :
unasema watu washuke na gear ndogo etii? sawa mwanetu
2026-07-17 10:11:12
35
user5749461431944
user5749461431944 :
kama chuma iko kichwani bro hakuna mteremko au mlima wowote utakushinda kupanda au kushuka gari ina break,stop engine,changedown stopengine,retada vote hivo vinatumika iwe kupanda au kushuka...
2026-07-16 15:35:01
11
neemamuu
user9671135659674 :
ninunulie kitonga ya jero Ustadhi
2026-07-17 08:22:38
16
_soso_3425
Soso :
Kitonga ni hatari sana, ila watu wanaongeza umakini sana wakifika kitonga...ndio maana ajali ni chache sana na hazina madhara makubwa sana
2026-07-17 16:21:29
6
arushaleoleo
kingkola@chuganation :
KWA TZ SONGEA UKO NILITAKA KULIA NA LUSHOTO PIA AISE GARI IWE NZIMA SANA ILA SEKENKE NASHUKA NA STOPA NA NIMEUMA 16 TONES KWA FUSO SEKENKE HAINA UBAYA
2026-07-18 01:25:07
3
imma_akim
Eng. Surveyor Imma :
Sio Kweli unachosema... Kitonga ni Mlima hatari sana kupita yote uliosema.. Hatari ya Mlima Kitonga inaonekana mapema ndo maana mtu unajiandaa kisaikolojia Hiyo miteremkoo mingine si hatari sana sema watu hupita bila tahadhari ndo maana ajari hutokea Sasa usichukue tahadhari mapema Kitonga hata dk 2 haumalizi.
2026-07-18 14:47:17
5
user6280481798616
shibombo t490 ehh :
gia no1 & 10 ip ndogo
2026-07-19 17:06:46
1
saidikeita6
saidikeita6 :
nyie ndio naletaga foleni kumbe
2026-07-19 07:07:19
2
mkali.nawi
Mkali Nawi :
Tanzania ipi unayozumgumziaa wewe
2026-07-20 09:32:36
2
jackline.mshana
jackline mshana :
nibebe na mm ostazi tupite wote kitonga😅
2026-07-18 07:21:40
2
clintongaspa
Clynt :
Kaka nataka uniifundishe chuma kaka
2026-07-19 07:53:37
1
trainermndoki0748744672
TRAINER MNDOKI Tz :
ni 7 sio 8 boss
2026-07-20 11:00:48
1
barikiudumbe5
bariki bahati udumbe :
ninavyo kukubari hata mm naenda kusoma udeleva
2026-07-16 14:24:59
1
victormwangaya
victormwangaya :
pipeline 🙌🏼🙌🏼🙌🏼😔😔😔
2026-07-16 18:51:32
6
omarymtenda92
mtenda🚛 :
pipe line haioneshi kama Pana mteremko
2026-07-17 16:52:43
1
rewardsimfukwe
REWARD🌱 :
Wozolo wozoloo✊
2026-07-17 10:40:22
1
user7270652372034
Marmoush_Hassan :
nakubal kak
2026-07-16 20:23:59
1
officiallyzinhow
Devi msigwa :
mfano sptopper haifany kaz unafanyj mkuu
2026-07-18 17:28:23
2
alamyohana
WAKISHUA 🔥 :
nataka kuwa kama wewe kaka nifundishe kazi Nina lesen 😅
2026-07-19 08:38:07
1
chihangu_chihangu
Baba 3smah tz🇹🇿 :
ila ostadh hapana
2026-07-17 03:31:07
1
official.a.r.kanza
official.a.r.kanza :
𝚐𝚎𝚊𝚛 𝚗𝚍𝚘𝚐𝚘 𝚗𝚒𝚗𝚊𝚖𝚋𝚊 𝚗𝚐𝚊𝚙𝚒
2026-07-17 04:22:38
1
kingkabika
~frwn® :
nakukubar kaka
2026-07-16 20:19:19
1
To see more videos from user @ustadhwatanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About