@likiiboympole: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hatetereki kwa maneno au propaganda zinazoelekezwa kwake, akisisitiza kuwa mashambulizi hayo hayawezi kubadili msimamo wake. Akizungumza leo Julai 15, 2026 nyumbani kwake Tarime, Mkoani Mara alipokuwa akiongea na Wanawake wa BAWACHA waliomtembelea kumfariji kufuatia kifo cha dereva wake, Suez Dani Maradufu, Heche amesema anayeshambuliwa ni yule mwenye ushawishi. “Mchezaji mwenye mpira ndiye anakabwa, mnayoyaona mashambulizi dhidi yangu ni kwa sababu mpira uko hapa, hivyo msiwe na wasiwasi, sina muda wa kujibizana na Mtu, huwezi kuniyumbisha kwa maneno ya mtaani, ya kwenye khanga? Mimi nasonga mbele,” amesema Heche. #MillardAyoUDATES#siasazviral #WenyeNchiWananchi #Tafsiri_nzito_sana💔💔💔 @GEN Z UNION 🇹🇿 🇰🇪 🇺🇬 @Chadema Tanzania @No_day_off⚡️ @TUNDU LISSU FAMILY @Tundu Lissu M4C @Bavicha Taifa

Øfficially likiibøy Mpøle✌️🎬
Øfficially likiibøy Mpøle✌️🎬
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 16 July 2026 13:56:26 GMT
2876
195
9
2

Music

Download

Comments

khashtash.mlala
Khashtash Mlala :
wow nyc
2026-07-16 18:57:33
1
eunyo60
Boniphace 2003 :
Jaman me nikisikia hivyo mwili unasisimka furaha inanizidia nataman nilie nicheke jaman people's power forever
2026-07-17 03:58:46
1
abasimhahilicha
Abasi Mhahilicha :
asante mheshimiwa mwenyekiti jon wegesa heche nimekupa jina wewe niharuni sauti ya mungu ndani ya kinywachako lengo la mungu kuwekasauti yake kwako nikutaka wewe na musa muwafikishe watanzania katika nchi ya ahadi
2026-07-16 19:00:15
1
zablon.mwangwa
Zablon Mwangwa :
Asante sana mwetu kwakujiamin
2026-07-16 20:17:26
2
mussakhalifa492
Mussa Khalifa :
pambana heche hawana hoja
2026-07-16 19:23:18
1
j.t.w.matakwa
j t w matakwa :
yeah 🤣 Sasa Kuna nguvu mpaya
2026-07-16 22:08:00
0
jackson12660
E.J.M :
🥰🥰
2026-07-17 05:08:07
0
To see more videos from user @likiiboympole, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About