@bongofive: Tazama namna Wema Sepetu alivyocheza kwa Madaha kwenye Arobaini ya Mtoto wake wageni waalikwa waibua shangwe kubwa Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongofive Imeandaliwa na @abbrah255

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 14:27:05 GMT
249108
18263
431
319

Music

Download

Comments

nurah.daniel2
nuraty 💔😔😷 :
mbon 40 zimefika haraka hata mshahara sijapokea bado😳
2026-07-16 16:42:46
370
beatha2580
Beatha seleman :
TUKIZUBAA OLIE ATAANZA SHULE WIK IJAY
2026-07-16 18:02:59
127
kidoatz
kidoatz🌸🦋✨ :
Comment nayoitafta siioni 😂💔
2026-07-16 15:54:45
109
nicholaus9068
Mr: K. Kiwango :
Toka wanasema ooh wema ni mzuri yaani nisiseme uwongo kwa upande wangu wema ni wakawaida sanaaa
2026-07-16 16:50:10
189
mamosi12
Mamosi12 :
Duu 40 ishafika mara hii kweli siku zinaenda kasi.hongera sana
2026-07-16 15:47:35
203
annie34576
Annie ♌️ 🦁 :
she's a queen
2026-07-16 17:17:38
2
user3210606011432
Lizy :
Nan kam mam olliee hongera
2026-07-16 20:48:12
0
rayca4197
Rayca :
Wema amefurah sana jmn mungu akulinde sana nafurah pamoja nawe
2026-07-16 14:36:24
99
abdulrahmanomar977
Omar :
Wallah kipenz nguo imemchukiza
2026-07-16 16:35:22
92
alphonsina60
Alphonsina :
mh ya Dunia 😥, yaan baada ya wema kuzaa tuu, yaan kupata baraka yake aliyokua anaitaman bas amepata maadui wengi sana, watu wamemchukia na kumsema vby jmn vipi Kwan ndugu zangu????
2026-07-17 02:51:46
3
mamuali254
Muffin😘🤍 :
hivi hii 40 au 15 mbona sijaona siku zqngu🥺
2026-07-16 18:25:49
12
deetryzah
deetryzah :
Hii ni arobaini au 20 Mbn haraka sana 🥺
2026-07-16 17:41:14
14
raydeunique3
She’sRay💞💝 :
hongera mama ollie 🔥🔥
2026-07-16 17:03:41
13
user8243865614151
rey qeen💞💞💞 :
Iv hii ni 40 Au 15 Mbona cjaziona cku zang ss🙆🙆
2026-07-16 18:22:58
7
user16279128271397
samtelo jr :
ila whozu
2026-07-16 19:28:44
0
sweet60594
Baby Bella 💓💖 :
kazaa kawaid au mbon sielew
2026-07-16 17:00:39
6
zawadi8349
zawadi :
kapendeza acheni majungu namasufulia
2026-07-16 19:14:34
7
prince.dylan49
sweety ❤️❤️ :
mung aliemuonekania wema akamuonekanie na lady jaydee 🥰
2026-07-16 15:51:21
8
minnaramadhani12
Minah ❤️🔐 :
kucheza gan hukuu nguo gan hii mbona wema.ana nguo nyingi tyu jomn khaaa
2026-07-16 16:43:34
8
merry.dancan
Merry Dancan :
umenoga mnoooo da wema
2026-07-16 15:26:39
9
user3051634612372
blessed gally🥰🥰 :
nauua haiwahusu lakin mwenye elfu 10 naombaaa🙏
2026-07-16 16:04:20
6
samsung.samsung.ba
CATHERINE :
hoparesheni himepona
2026-07-16 20:13:27
1
user7575114381767
user7575114381767 :
watu na operation zao jamn
2026-07-16 21:17:02
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About