@doctornoel: Maoni yako ni yapi?

Dr. Noel, MD
Dr. Noel, MD
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 14:32:41 GMT
43034
2855
152
99

Music

Download

Comments

aliyu23_
Aliyu23 :
Hi dokta lab person hapa, pia typhodi inaphase mbili ,phase ya tumboni ambayo it might not be ditected in blood culture,then after few days typhod ndio wanaingia kwenye blood circulation hapo blood culture ndio inaeza kuleta positive growth,so we recommend dokta you request all three test salmonella stool antigen ,Widal test ,blood culture if no typhod history, na kama aliwahi kupata zamani ondoa Widal test na perform hizo mbili stool antigen na blood culture.
2026-07-16 23:08:31
31
baba_pricilla
DR MAKANGA :
ndo maana NHIF hawalipi widal test😅😅
2026-07-16 19:06:16
27
divinecosmetics_tz
divinecosmetics_tz :
daktari kwenye widal test tunacheki antibodies against izi 2 antigens H na O O maranyingi ina rise mapema sana in course of infection ya tyhoid na hii inakuonyesha that there is active infections na H maranyingi ina raise later na pia it can stay long time elevated kwa hio sasa ikukuta titre dilution ya O ime rise sana above normal that's active Tyhoid infections wakati H not necessarily active unless iwe ime raise sana na ukipima hii ndio mda mwingi unaikuta iko juu so kipimo ni very useful , shule tu ndio changamoto mtaalamu
2026-07-17 10:43:26
8
kingilike.junior
Lab tech: Kingilike Junior :
Zipo rapid test zinazopima antigen...!! sample inayotumika ni stool
2026-07-16 15:13:50
12
stayhealth.9
Stay Health Yugen :
We have Salmonella typhii antigen test Now I prefer medical personnel tutumie hiki.
2026-07-16 18:44:15
4
yahyakuchao
Kuchao_255 🇹🇿🫶 :
vipi ukitumia extended widal test
2026-07-16 14:53:16
11
mhinakadu
Kadu :
how about h- pylori?
2026-07-18 06:11:34
1
mrsgosbert
Eutroph🥰 :
salmonella shigella antigen test ipo unatumia stool na inatumika kwa sasa mbadala wa widal test japo changamoto ni ngum kupata positive na mtu ana dalili zote za typhoid
2026-07-16 19:27:13
6
ghenghiskhan6
 :
KWANZA HATA STG INABD IBADILISHWE MICROBIAL RESTISTANCE KAMA YOTE SAHV
2026-07-16 16:56:25
2
baflo_18
Baflo :
gold standard afanye stool c/s
2026-07-17 03:16:18
6
kim_spatan80
kim_spatan :
unasuggest alternative gani
2026-07-16 14:42:45
1
jaiden3com
Jaiden :
Utampaje dawa ya typhoid kama Hana ugonjwa wowote katika vipimo vyako kisa tu Unaona dalili zinafanana na za typhoid. In case of culture ikawa NPI( non pathogen isolated) uoni utakuwa umempa dawa isiyo sahihi kwa ugonjwa wake na pengine akapata madhara katika hile dawa ulompa ??
2026-07-16 15:51:15
1
user4986007775417
Gx :
Dr unaona yaani Ni Bora MTU asipime Kwasabu ambazo umezitaja Ila ameze Antibiotics bila Kua sure ana Io infection 😄😄😄😄😄 in short Ni vizuri ungedili Na Taaluma yako au ahakikishe unafanya research nakuja Na update kabla yakuja kupotosha hapa zipo test nyingi zinatumia Antibodies Na bado ukiendelea kupima inakua positive ,Sasa we should dump test Kwasababu inaendelea Kua positive Na research ipi ulifanya ukapata majibu Kua katika watu wanaopimwa Widal test majority Ni positive Na Sio Negative Kwa wanaopima nimashaidi negative ilikua kubwa Kuliko Positive Nakubali culture Ni gold standard Ila Je Tanzania Ni facility ngapi zinafanya culture au unaongelea Dar mkubwa !!!!Sasa Hivi Kuna Rapid test inapimwa Ila bado inaitwa Widal huez mwambia mtanzania nakupima Salmonella
2026-07-17 09:49:29
0
missluckyaroma
Dr Luckyaroma ❤️🌹❤️ :
Hii imenisaidia leo nimeelewa
2026-07-16 17:01:19
8
fkg.go.tz2
Mr Program 2024 :
Upo sahihi
2026-07-17 05:57:30
1
user57861707241886
Dr TLC4ever :
naona WENGI mnasema BIMA hailipi 😁😁 BIMA ndio kina Nani HAO bima wakiamka Leo Kesho,,Wana lingine🙌🙌
2026-07-17 05:29:38
1
tumadonald
Tumadonald🌸 :
kwakweli hi widal test sio poa,lakin hataivo wizara ilishakataza kutumia hiki kipimo,though bado zinatumika baadhi ya maeneo.madaktari wengi wanapenda sana ku order widal test.unakuta client history inaonyesha client katumia dawa miez mitatu ilopita.lakin akipima tena lazima tu ita react kwasabu Ab zinabaki mwilin mda mrefu.skuiz kuna Ag rapid test ndo tunazitumia
2026-07-16 18:50:08
0
jaiden3com
Jaiden :
False negative how ???
2026-07-16 15:52:41
1
roxiee96
Gee :
Dr kindly talk about Metronidazole to pregnant women, especially 1st trimester
2026-07-17 08:00:02
2
tumaini1704
Doctor's corner 🥼🩺 :
ni kweli kabisa, shida ni Client kukubaliana na hiyo Culture 🙌🏾🙌🏾
2026-07-16 16:41:51
1
amedeusmasawe852
Amedeus Masawe :
How false negative Doc??🙏
2026-07-16 14:57:23
1
steve_kasawalah2510
Young Kasawalah🥼 :
True, ndio maana serikali walipiga marufuku kutumia widat test, now days hutumika Blood culture.
2026-07-16 14:47:04
2
mkodhiambo
mkodhiambo :
💯 correct
2026-07-16 16:09:18
1
hersmile811
hersmile :
Widal test imeshatolewa kwenye hospitali nyingi hata kuna baadhi ya bima hailipi hicho kipimo
2026-07-16 15:42:56
2
yusuph.kakete
Yusuph Kakete :
vp kuhusu MRDT yenyewe sio antibody and antigen reaction
2026-07-17 08:12:02
0
To see more videos from user @doctornoel, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About