nashukulu mungu me sijawah kufany vityu ivyo vya kumuasi allh
2026-07-17 17:13:02
30
Rachael mamy 1โ :
Mtajua wenyewe ๐๐
2026-07-17 20:10:21
1
RAIS WA KIBURI. :
mm nilisoma madra nikiwa mdogo sawa lakin kunavtu nafanya sbabau mm nibinadam lakin kucha naogopa sana hv pa nakufa gafla alafu ninakucha bandia.nimejichubha.ninawig.ninakope.nimejichubua.dah mwenyezi mungu nipe mwisho mwema walag
2026-07-17 16:26:49
8
Bu Fara :
Lete aya inayosema hizo kucha ni haramu
2026-07-16 15:30:16
7
T๐ซh๐ซu๐ซm๐ซa๐ซ โค๏ธโ๐ฅ๐ฅ๐ :
Allah Allah
2026-07-17 15:09:03
0
๐ฆAysha๐ฆ :
naurembo wangu woteee sijawahi kuweka kufuga na M/mungu anistriii wallah