@bongofive: Tazama Mahaba mazito ya Wema na Whozu wakilishana Keki kwenye Arobaini ya Mtoto wao Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongofive Imeandaliwa na @abbrah255
hadiraa mungu kajua kuwaziba midomo wale wote waliokuwa wakimnenea mabaya dada wema mungu akujalie na akuwekee mbamli oli na macho mabaya yawatu Raha ilipje dada wakati wakp dada angu wakurulai maana ulilia sana mungu akubaliki dada
2026-07-16 18:22:13
3
user512365957483 :
mashallauh ❤️mungu atuwekee inshallah ameen 🤲🤲🤲
2026-07-17 09:07:05
0
super woman :
ila mtu usikate tamaa
2026-07-16 18:19:56
4
nurusia lucy :
hongera dada
2026-07-16 19:20:49
1
Pilli Athuman :
jamani mmependeza
2026-07-16 15:03:52
1
user96569317967972deboramasike :
maman ollie tunawa penda
2026-07-16 21:17:28
0
binti mbise :
bibi ollie anaangalia tu 🥰🤣🤣🤣🤣🙌
2026-07-17 04:50:24
0
zenaaaaa🥰🥰 :
jemeni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-16 21:29:08
0
AuntyB :
kama kuzaa ni hivi acha nitafute pesa nizae tena🥰
2026-07-16 16:35:57
0
A$N@T¥ 💦 :
sio oli 😂
2026-07-16 19:57:09
0
Cheda ngongo :
Amina
2026-07-16 20:41:37
0
Bashra swaleh :
umeviona pia ww 🤣🤣🤣 .
2026-07-16 16:11:39
0
jannat kuraish :
kaamua tu tucheke mama ollie mtu wa watu siunajua
mi nimecheka 😁
2026-07-17 10:25:49
0
Tap Queen97 :
msijifanye hamuoni viatu vya wema 😅
2026-07-16 16:15:38
2
Chesang@3💥 :
viatu ya mama Olie sijui anadhani ataangusha mtoto Nini jameni
2026-07-17 08:40:32
0
provina 🤗🤗 :
kavaa kigodolo au
2026-07-16 20:14:56
0
BELLACHOU :
😁😁😁
2026-07-16 19:22:46
0
DEBORAH MARTHE :
😂😂😂
2026-07-16 21:07:04
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm
homepage.