@fettymvungi: Uaminifu ni hazina ambayo thamani yake huonekana zaidi unapoupoteza. Asiyejua thamani ya uaminifu hawezi kuelewa maumivu na hasara ya usaliti. Linda uaminifu wako, kwa sababu hujenga mahusiano ya kweli na heshima ya kudumu. 🤝✨🤍 #fettymvungi #fyp #viralvideo #creatorsearchinsights