@abumapunda:

Abuu Mapunda🇹🇿
Abuu Mapunda🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 15:26:16 GMT
165038
8542
272
242

Music

Download

Comments

bright.laizer5
Bright Laizer :
Na usijaribu kumuambia bwana ake utajutia😂😂😂
2026-07-16 15:32:13
188
damali2050
damali silas :
nani mwingine ame-like Whatsapp ikaja mipira 😂😂
2026-07-19 14:34:44
60
mariaremmy
Maria Remmy :
nilimkop lak3 kweny malipo tulipelekn adi kwa mwenyekit akasem yy sio mam angu nitafute mwingn🤣
2026-07-19 06:21:35
56
user1661231145214
chalani boy :
me cjawahi kumkopesha nampa sababu nampenda sana sana sana ❤️❤️❤️❤️❤️🧕🧕🧕🧕🧕❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🧕🧕❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-07-18 15:58:08
23
raneyy72
Ramou 🕯️🥀 :
mimi nikidai anaanza kulia anasema unajua nimepitia mangapi Kwa ajili yako😂 eti nifanyaje na ninamdai
2026-07-19 10:57:28
24
genius_isack
Genius_isack :
hata cijui imekaaje hii me wangu anasema nikisema unilipe vyangu utaweza
2026-07-18 18:00:58
18
yusuphnalinga1
YUSCO🦺🚛🚦🛣️ :
😂😂😂wangu niliyumba sana akanipa pesa hili zinisaidie nilivyokaa vzr nilimwambia nataka kukulipa hile pesa akasema mimi sikukupa hili unilipe km kunilipa utanilipa vingapi namshukuru sana hakika nampenda najitahidi juu ya uwezo wangu kumpa ninachopata na ananipa moyo sana kwenye utaftaji wangu hakika Allah nitunzie sana my mom♥️♥️♥️
2026-07-19 08:47:04
22
witnessfrancis
Niuniu :
Chemsha chai unywe barid kali sana🤣🤣🤣
2026-07-18 16:23:42
9
cute89217
Binti_othumani :
me wangu ananiuliza wew nakudai vingapi?
2026-07-16 16:08:06
24
gee206703
It's Gee😍😍 :
Mimi ndo kaniambia halipi na popote nimpeleke nashindwa kuelewa kabisaaa 😂😂😂
2026-07-19 04:55:55
6
emmaqulateholela
QueenHolela :
😂mie aliniambia akipata tanilipa au nimpeleke polisi 😂🙌🏽nangojea mwaka upinduke😂 nimkumbushe den langu
2026-07-16 15:45:44
1
babuchid
Babu Chid :
mda mwingine wanasema tuwakopeshe ukimdai anaanza kulalamika
2026-07-20 09:13:55
4
user4619967918373
user4619967918373 :
abuu ndo nn sasa unatoa siri
2026-07-18 17:25:14
1
abdillahamiri65
Abdillah Amiri :
na akihitaji tena huwezi sema huna
2026-07-21 04:12:44
3
happysaidy618
Khidaya 💝💝💝 :
😂😂Aki hawa watu sio wakukopesha mtu namdai Pesa yangu ety ananiambia aliuza shamba lake laulis ilinitiBiwe nilkua naumwaa 🙌🙌🙌
2026-07-21 10:22:27
2
elizabethmwita429
Elizabeth Mwita :
me mwenyew kudaiii naogpaaa kwanza
2026-07-18 14:02:35
3
jackielucas92jacki
mama Amal❤️ :
nachoka mimi tumetoka kugombna apa asubuh😂
2026-07-16 18:00:49
11
user9229421025308
vee :
na kwanini umdai ukimpa umempa sio deni
2026-07-19 06:32:57
3
lelah2450
lelah :
Hata mimi NINASHINDWA KUELEWA kwanini unamkopesha mzazi wakoo😂😂😂😂
2026-07-19 15:16:36
1
sespv_bite
sespv_bite :
😂😂😂😅utaelewa2
2026-07-18 12:52:17
1
missstephano
princess stephano :
😃😄😄 utajua hujui hapo
2026-07-19 22:22:58
1
user9245407835615
lìssãh🦋 :
mm Wang 😍 anajiongeza kwenye ela yang 😂
2026-07-19 17:55:54
1
niyeyee1
Sun BoyTz1🎶🎸 :
miezi9 ndio wimbo wake Kila nikimdai natulikubaliana sijampa namkopesha azungushie atanipa nashindwa kuelewa
2026-07-18 16:55:25
4
user5476371108548
user5476371108548 :
kwishaaa
2026-07-16 23:17:16
1
dinahyasin3
Dinah🦋💕🦋 :
Na ukijaribu kumshirikisha mmewake unapatana na presha
2026-07-19 15:23:44
3
To see more videos from user @abumapunda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About