kwa mujibu wa bible Adam hakuomba msamaha kaka njoo mezan
2026-07-16 19:44:14
10
Mpenzu_Tz🇹🇿 :
kila mtu na mungu wake,kila mtu amuabudu mungi wake ambae anamuhitaji
2026-07-17 10:39:47
1
rebeccasanga445☑️ :
Mungu anasamehe dhambi sio matokeo ya dhambi
2026-07-17 09:38:55
1
moseschambo_jr :
Mbinguni kunawapasa wanyofu wa moyo huwezi kuirithi mbingu bila unyenyekevu
2026-07-17 02:01:05
2
BAKDONSO🏀🥷🫵🗽 :
tushakua watu wazima uki ambiwa mungu huelewi Basi chagua mungu utakae mtumikia ila mm na nyumba yangu tuta mtumikia mungu wa yakobo🥷
2026-07-17 02:06:48
3
timothjoely@ :
aliwasamee dhambi ila matokeo yamebakia
2026-07-17 07:07:40
2
J3 MATONGE :
hapo ni ukweli kabisa mkuu
2026-07-17 04:42:54
3
piscas nails :
U kweli tupu hotep my champion
2026-07-16 17:39:33
2
@brandkiddy6 :
mi ujue nilishawah kujiuliza hili jambo ila leo umeeliwek good nakubali kk💯💯💯
2026-07-16 18:10:22
3
Nelson Mafie :
braz nakubali.naomba usichoke kuongea
2026-07-17 09:53:52
0
magazlatan :
kaka davi
2026-07-17 09:14:43
0
Msotaa Emmanuel Lourence :
yes
2026-07-17 04:47:07
0
kaijage once again :
hawakuomba msamaha
2026-07-17 05:26:43
0
FA_66% :
mwalimi
2026-07-16 17:47:07
0
Jeremie Kahindo :
unaelewaka sana
2026-07-17 04:27:19
0
shau :
hakika brother
2026-07-17 03:30:27
1
kuluthum majala :
Africa imejua kuna Mungu baada ya waarabu na wazungu kuja ila wachina na wahindi kibao wanaabudu kwa mila zao ila sisi tumaacha mila zetu tumefata za wazungu za waarabu we angalia Africa sehem walipokaa waarabu ndio waislam wamejaa na walipotawala sijui waingereza,wazungu, wafaransa na wengine wengi ndio palipo na ukiristo huu ni mchezo tu kweli hakuna ukweli hapo Africa tumeuziwa uoga tu
2026-07-16 16:18:14
9
PΞΔCΞ WΛLΚΞR :
shake before use
2026-07-16 16:25:57
3
Justine23 :
adamu na eva hawakutubu dhambi waliyoifanya ndo maana Mungu alilaaani kizazi chake chote, na sio kwa watu weusi tu ni kwa wote. alafu haya mafundisho yako yafanyie marekebisho maana yanapotosha
2026-07-17 04:37:21
0
kasibantee :
alafu zambi ndio inajaza dunia😆😆😆
2026-07-17 03:24:04
2
Nooolov :
makondooo msipanik elewa somo thanx bro
2026-07-16 16:18:38
2
MR ROBERT :
hatimae nipata wakunifundisha
2026-07-16 17:33:01
1
amfrodi :
maji ya chumvi gan kaka.?? ya mawe au ya kawaida??
2026-07-17 11:05:26
0
0793469379 :
nakubr
2026-07-16 16:11:41
0
To see more videos from user @__davi1_, please go to the Tikwm
homepage.