@veriafya: Uvimbe unaweza ukawa ndani ya Kizazi usionekane kwa nje kwa kuvimba kwa Tumbo lakini ukaleta changamoto zikiwemo kushindwa kushika Mimba, Mvurugiko wa Hedhi na hata Mimba kuharibika. Msikilize Dkt. Joseph Salum Kiani, Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Temeke akifafanua zaidi kupitia KM Online TV

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 16:11:10 GMT
1249
17
1
3

Music

Download

Comments

To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About