@drmtongori:

drmtongori
drmtongori
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 16:41:18 GMT
24840
1524
121
82

Music

Download

Comments

shavola.dancan
shavola Dancan :
Amen 🙏 Amen 🙏🙏🙌🙌 I love it
2026-07-18 21:31:53
1
sis.bee05
sis bee :
asante
2026-07-17 14:01:31
0
user2586831874525
user2586831874525 :
Asante san
2026-07-17 16:13:52
0
justine.peter73
Cappy♑🐐 :
ukichaguliwa lazima uione😅😅
2026-07-18 08:16:30
9
miss.issa3
Miss issa :
mwisho ni lini nimechoka mimi
2026-07-17 11:27:24
7
bintlyimo6
bintlyimo6 :
Nimejitoa kwenye kikundi cha wamama mwenyewe🙌🙌
2026-07-17 17:22:32
3
rithajohnson5
Ritha Johnson :
week nzima kichefchef nashida naumwa kichwa kinauma adi sasa
2026-07-19 05:40:13
0
neema.lukas8
Neema Lukas :
mimi nimeingia kwenye mahusiano mapya napendwa hatar🤣
2026-07-19 06:56:53
0
erick.mwombeki8
Erick Mwombeki :
Haya maarifa ukiyajua utaweza control hisia za watu wengi sana...am chosen one. Natizama jua kila asubuhi napata taarifa muhimu kuhusu sayari yetu katika lugha ambayo siwezi elezea
2026-07-19 01:11:33
4
user9955767941371
7694 :
hakika sikupingi kabisaa Dada yangu mm Majuzi nimegombana na mtu mpaka tukashikana baada ya hapo najihisi vibaya tu mda mwingi nautumia kukaa ndani peke yangu ni kulala na kuangalia movie tu na aliyenisababishia haya hivi sasa anaonekana yy ndiyo mwehu.
2026-07-17 07:02:23
4
sandraann801
sandraann801 :
yote umeongea ni kweli
2026-07-18 19:25:16
2
user9523730741818
Kikore April 20 :
Hii ilitokea lini?
2026-07-18 06:26:09
0
peris390
peris linje :
Kila mwaka new moon lazima nigombane na watu,hasiraa
2026-07-18 04:33:25
3
official_saraphia
official_saraphia :
Yan mm Toka juz naiyona ad Leo na tumbo linaniuma sijiskii vzur nais kichefuchefu Yan kiufup mood yang aieleweki kbx😩😩Hila nakua naongea nay Toka iy juz
2026-07-18 20:33:21
2
mrmallya0
Mr mallya :
hata nikoenda kazini sijisiki hata kuhidumia wateja aisee
2026-07-18 06:26:02
2
fredernest7
Fred Ernest :
mi kaz nasubiria tu boss aje kesho anifukuze maana tushatofautiana
2026-07-16 21:11:42
5
54hey_
Hey :
😭😭😭 Itoshe kusema nanyooshwa, naumwa hoi, napenda kukaa mwnyw, heri hata ningegomvana na watu jaman ,, yaan.nipoo Hovyoo 😭😭😭
2026-07-16 19:55:29
1
basill.john
Basill John :
wewe umejuaje
2026-07-18 08:33:21
1
anifer.mahundu1
Anifer Mahundu :
kwel jaman yaan nimemfukuz mfanyakaz wangu jana duuh ni hatar.
2026-07-17 11:57:51
2
faustineystanley4
Faustiney Stanley :
bimkubwa sikupingi ni kweli najiskia naumwa mwili
2026-07-17 17:45:49
2
user190896642
Mariam Mohamed :
kweli kabisa yani siku tatu ninaumwa sijui ninaumwa nini
2026-07-17 19:18:38
4
khia157
Khia🦋 :
Me nilipata kizunguzungu kuanzia alfajiri ya 11 ya alhamisi mpaka usiku wake kichwa nacho kikaniuma sana jamani nikahisi damu imepungua
2026-07-17 20:48:47
3
mohammedabdall16
mohammedabdalla2796 :
nan anaona nyota inaama ama
2026-07-17 14:48:58
3
To see more videos from user @drmtongori, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About