@zeepodcast_: #zeepodcast #walid #bakwata

zeepodcast_
zeepodcast_
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 16:54:19 GMT
98823
4118
455
167

Music

Download

Comments

uncover668
uncover :
Wengi wanaweza kuona kuondolewa kwa Sheikh Walid kwenye cheo ni shari. Lakini ukiangalia kwa jicho la karibu na kwa imani, unaweza kuona ndani yake kuna kheri. Allah Akimpenda mja Wake, humuinua kwa namna Anayoijua Yeye. Watu humtambua kwa tabia na sifa zake njema, si kwa cheo pekee. Kwa mtazamo wangu, hili linaweza kuwa kheri, kwa sababu kila analolikadiria Allah kwa mja Wake lina hekima na linaweza kuwa sababu ya kuinuliwa zaidi. Leo tunaona Sheikh Walid akizidi kujulikana na kupendwa kwa sababu ya sifa zake njema na mwenendo wake mzuri. Mwenyezi Mungu atujaalie tuone hekima katika makadirio Yake na atutie thabiti katika haki. Aamiin.
2026-07-16 22:45:59
109
hafsa.jamaly5
Hafsa Jamaly :
Dhahabu haiwezi kuwa kamili bila kupita kwenye moto shekhe Allah ampe subra sana Allah amsimamie🙏🙏
2026-07-17 08:14:44
37
big_heart55
fine boy😎 :
fact brother 🙏
2026-07-17 11:38:28
0
abumohanad22
AbuMohanad22 :
Very true 💯
2026-07-17 10:19:56
1
treasure.mgambo
Rihanna mgambo :
fact brother 👌
2026-07-17 11:13:47
0
hemed_01
Hemed😋 :
Bro umeongea point Sana mashallah 🤲🤲🤲🤲 Allah akuzidishie elimu
2026-07-17 12:56:53
6
onlyo614
only one :
imeisha shekh wetu kishki saiv Walid Allah awape subra na hekma
2026-07-17 02:40:04
23
maryamhaji1915
Mamu😘😍🥰 :
kaka huyo kafundishwa kunawatu wanampango wakumuazalilisha shekh wetu
2026-07-17 05:26:47
23
mohamed.alkharous7
Mohamed Alkharous :
omeongea fact
2026-07-17 06:11:11
0
mudrick.kinanda
Mudrick Kinanda :
mungu ampe subila shekhe wetu kipenzi cha Wana Daru Salam🙏
2026-07-16 21:16:34
26
amishijuma
Amishi 254🇰🇪/🇴🇲🥀 :
Kweli kbc brother
2026-07-17 07:22:25
0
ashun.vijora.pambe
ASHUN VIJORA PAMBE :
amekosea sanaaaa
2026-07-17 06:52:48
9
ayoun157
Ayoun ❣️❣️ :
Sisi wanawake tukiwa na uchungu na hasira tunaongea tunavotka ata shetani mwenyew anakua anashangaaa😂😂😂😂
2026-07-17 07:57:22
16
inaayataa
My queen :
exactly
2026-07-17 05:57:28
0
lonley.wa.rms
Lonley OG cancergang :
watu kwakujifanya kumlaumu huyu dada mwenzenu hamjui kiasi gani kachoka halafu mnaongelea ilo tu mnaliacha mbali swala la kuwa huyu dada hakuwa mkewe maana yake ni mlishawaza kuwa shehe apo kapita na uzinifu mnawalaumu bakwata kumsikamisha kwann dini ibaki na kiongozi mwenye shutuma za uzinifu no sahihi akae pembeni apishe uchunguzi hajafukuzwa moja kwa moja likishachunguzwa ikionekana sio kweli atarudishwa kama ni kweli hatufai
2026-07-17 03:54:31
9
suhaila9446
suhaila🥰 :
kabisa kaka utazani kwaza dhahabu Yani wangapi tumezalishwa na mwanaume katokemea na watot. tunalea vizur tu
2026-07-17 03:22:50
7
zuhura.masoud4
Zuhura Masoud :
anasema hajafunga ndoa hayo makaratasi ya nn
2026-07-16 18:12:02
13
auspiciousheroine1
@auspiciousheroine🇹🇿 :
Justice for sheikh Wariid🥹
2026-07-16 23:51:40
7
user48411053482543
KHADIJA❣️💝💞 :
kaka ahsant umeongea kwa hisia wallah inauma
2026-07-16 23:02:42
16
h.zeiyn
zeyn_19 :
mnauwakika ZEE mkristo kweli mbona ana maneno ya hekima sana
2026-07-16 18:07:50
8
ayshaiddi7
ayshaiddi7 :
🥰🥰🥰huyu dada amuogope hata mungu hata wazazi wake hawasikilizi hata kidogo vilio vya watu machozi yeti 😭😱😭 yatamludia tumeumia sana
2026-07-16 17:02:46
6
user2193293096655
user2193293096655 :
apo jamani lazma muelewe co dada kuna mtu nyuma ya pazia uyo dada hana ukweli wwt
2026-07-17 14:31:00
1
user1108161262065
Charles Kulwa :
Yani ukitakujua yule dada anajitambua anglia sasa shekhe yuko wapi sasa. Acheni dharau jamani.
2026-07-17 08:39:43
3
aminaramadhani6593
Amina Ramadhani :
allah ampe subra shehe wetu
2026-07-17 13:13:34
1
user428384792
@Mamie :
Si kila mwanamke ni wa kuowa wengne tumeletwa kma mapambo😔Allah ampe ujasiri shekhe walidi🙏🤲
2026-07-17 11:19:23
3
To see more videos from user @zeepodcast_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About