@daniel.bayo6gtz1: #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #southafricatiktok🇿🇦

Śmãřt Böý
Śmãřt Böý
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 16:55:03 GMT
39831
1263
105
253

Music

Download

Comments

.ish47
ISH :
after sacrifice all the time for my parents and young sister saii wananilahani na kusema hakuna kitu wanaweza tamani kutoko kwangu
2026-07-17 09:36:15
0
user81045888733485
0079# :
somehow, but not all, sir. Remember the journey where you come from cause this world is not our home,
2026-07-17 06:45:13
5
therock_citygirl
diraxherself👩‍💼 :
Mimi heri nishinde njaa ila wadogo zangu lazima wale
2026-07-17 05:17:02
28
swahib876
young swaah :
huuu ndo ukweli mtup
2026-07-17 06:13:56
8
tfive_mnyama
T Five :
tunaokutana na Mikasa ya namna hii tunamwelewa sana huyu father
2026-07-17 07:05:46
17
sheby2215
SHEBY🇹🇿 :
Kufanikiwa lazima uwe mtu wa liwalo na liwe.
2026-07-16 18:05:50
20
manyikarose1
👄ROse🫦🔹 :
jidanganyeni Kuna baraka kubwa sna kwenye utoaji ukitoka una barikiwa na wengi walio familia wamepata mafanikio ukitoka hupungiwi Bali huongozewa mkumbuke ilo
2026-07-17 06:50:42
3
paulo.mzinza
Paulo Mzinza :
mafanikio sio vita , sio sababu ya kujiandaa kukosana na ndugu. nahayo sio mafunzo ya mafanikio. unaweza kosana na ndugu na bado ukawa huna kitu chochote.
2026-07-17 07:28:23
6
mc.hawa.chidy
KIM💸♈MWANA......🕊🦋 :
NDUGU SINA MPANGO NAO🤗 ILA MAMA ANGU NA MWANANGU LAZIMA NIWAPAMBANIE IWE JUA IWE MVUA
2026-07-17 06:09:57
4
user1026141047240
wedding pagalle 🔥🥰 :
Mhh huu ushauri unautata kwa maono yangu,so wazazi wangu nisiwasaidie baraka nazitoa wap 😳😳😳,siafiki huu ushauri🥺,vip ww usiposaidiwa na ndugu yako utaona raha?
2026-07-17 10:27:34
0
lovenesselijah1
Above only 🙏❤️ :
yaani unaongea kweli sababu Mimi nilikuwa naanguka kimaisha sana mara nyingi sababu nilikuwa nawapa wao kipaumbele
2026-07-17 10:17:49
0
levina.damian5
Levina Damian :
SIna tu ela ila ningewasaidia wazazi wangu walinilea sikueza kujipangusa ata mavi nilipoumwa waliangaika na mimi
2026-07-17 04:34:29
2
user2668547380020
user2668547380020 :
Haya ni mawazo ya kimagharibi waafrika hatukulelewa hivi huu ni ubepari na si haki kulazimisha watu ideology moja wakati zipo zaidi ya moja kisomi ni kubalance na si kudictate mawazo na kuprogram watu
2026-07-17 07:02:07
2
muhu2449
Muhu :
ni sahih mi nmejenga nikamwambia mama akae na mdogo wangu matokeo mama kamktia mdogo wangu kiwanja kipande bila makibaliano rasmi
2026-07-17 07:01:07
0
axbrolakasisika0
official greenboy :
zamani nilijua mm ndio nawaza upuzi kumbe ndio ivyoo sawq
2026-07-17 06:04:24
3
user3226553214241
awa phiri :
huuu.ndo.ukweli.mtupu
2026-07-17 07:18:42
2
geomsaf5
GeoMsaf :
Hakika brother nimekuelewa sana Hakuna Mafanikio Bila sadaka🙏🙏🙏
2026-07-17 10:37:27
0
boscomushi312
Bosco Mushi :
point
2026-07-17 05:51:30
0
witness.nhuguti2
Witness Nhuguti :
khaaa
2026-07-17 09:51:04
0
magufuli0001
Magufuli business 💰 🇹🇿🇨🇩 :
Asente sana mukuu, nimejifunza kitu usichoke kutu fundisha🤙🏽🖐️👊🏾🤝
2026-07-17 10:32:00
0
neema.john548
Neema John :
true ili ufanikiwe liwalo na liwe
2026-07-17 11:18:29
0
user9497148120600
pendo electronics :
me nadhani Kila aliefanikiwa afanye Kwa kiasi,ajikumbume na yeye mwenyewe na kizazi chaake kwasababu haya maisha haya,heeeh watu ukitoeka watakustaajabisha huko uliko kama kweli Huwa wanaona wanaotangulia,utajiulza hivi huyu ndo anaefanyia kizazi changu hivi?kurudi huwezi masikini ni majuto tu
2026-07-17 11:34:17
0
user71385421694831
mama love :
weee wazazi nisiwasaidie subutu
2026-07-17 10:49:23
0
ramson.bush8
RAMSO Mtanzania🇹🇿🇹🇿 :
Sahihi kaka
2026-07-17 10:35:22
0
user65618138631576
banzi :
uwakika
2026-07-17 05:58:43
0
To see more videos from user @daniel.bayo6gtz1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About