@dalalifranklin: #design #construction #fence #decoration #housing

Franklin dalali dodoma
Franklin dalali dodoma
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 17:11:08 GMT
329239
8648
206
694

Music

Download

Comments

upknyk
mamuu :
too much
2026-07-19 05:12:58
1
ummy.saidy678
UMMY SAIDY :
Mmmmmmm hapana aiseeeee
2026-07-19 06:35:33
1
dazi7
dazina :
ambao hatupendi mambo mengi nyoosha kidole juuuuuu rangi nzuri hayo ma x x tabu
2026-07-17 06:31:04
263
dick.bernard
Dick Bernard :
Nicheki in box fundi
2026-07-18 12:52:15
1
heylee_1
Heylee :
Simplest is bestest.
2026-07-18 22:23:09
2
honesta.kitchen.hub
Honesta Kitchen Hub :
ukuta mzuri ila hizo x kwenye ukuta zisingekuwepo
2026-07-17 02:57:50
36
robertjoachim1
Roby :
hizo X za nn Sasa adi kwenye nyumba au alimjengea X wake
2026-07-17 14:59:54
35
francischristian10
Francis Christian✅️ :
hiyo pesa iliyokufa hapo sio poa
2026-07-18 19:35:58
4
mishykide23
mishykide23 :
Nyumba za geita
2026-07-18 16:27:03
2
masogange.tz
Aggie💙🦋 :
Kwahy ndio umeamua kuifanyia nyumba yetu ya urithi tangazo mwanetu😂😂😂😂
2026-07-19 15:21:40
1
_kizzie01
_Kizzie🤑🤑 :
Tatizo Hizo X tuu
2026-07-17 11:48:40
1
mouh_dady
murtazah :
fundi alikua anamtambia x wake😅
2026-07-17 09:01:52
1
zuhuraissa441
Zuhura Issa :
salute!!!
2026-07-17 07:43:15
1
user2026926197765
[email protected] :
Ngoma ilipigwa 120, alafu Penalty 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-17 13:29:43
1
engineer_senator
Eng Senator :
pongezi kwa mafundi wote
2026-07-17 10:10:19
1
cityobserver
City Observer :
Urembo mwingi .nyumba itawahi kuchoka hiyo
2026-07-17 17:14:12
2
phphytz
🌷phyphy⚘ :
nauza hizo tangastone na mawe meupe karibuni
2026-07-17 16:16:42
2
mygreenbloom
mygreenbloom :
Hii itakua katoro hii
2026-07-17 07:45:36
1
mygreenbloom
mygreenbloom :
Nimeichukia kichizi😁
2026-07-17 07:46:20
1
shuuuniq7
Shuu memez 💃 :
tafuta thaman ya X
2026-07-17 11:24:06
1
mpangalaally
ALLY SAIDI MPANGALA :
Gharama ya hiyo fens ni sawa au zaidi ya banda langu la Kisemvule mpaka finishing😂😂😂😂
2026-07-18 17:26:40
4
chicha_12345
chicha :
Nyumba hii ipo mipango kama sijakosea
2026-07-17 08:02:02
1
shijamalongo
blood :
Hapo mbona ni kama Kwa mama Samia nyarugusu
2026-07-17 10:25:36
1
ge333nssy
Ge333nssy :
hii dodoma nimepapita saan hapo nilikua napenda kupaangalia ni design nzuri
2026-07-17 19:20:44
2
salome.emmanuel863
Salome emmanuel :
hawa ndo wanatukausha damu jamnagar mbona ss hatupati hela jamn
2026-07-18 12:10:09
1
To see more videos from user @dalalifranklin, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About