@simulizi_nono_africa: Moja ya habari iliyopo kariakoo Kwa Sasa ni juu ya hii Nyumba hapo juu, hii nyumba bwana imezungukwa na Maghorofa tu, hapo pembeni kushoto yake nimekuwekea jengo linalo endelea na ujenzi, na hiyo ndo nyumba chakavu tu peke yake hakuna nyingine. Lakini kinacho washangaza wengi ni Mmiliki wa hiyo nyumba chakavu kugoma kuuza licha ya kupewa Bilioni 10 Ili ahame matajiri wajenge ghorofa waweke Biashara zao. Mbaya zaidi Mmiliki ambaye ni Mzee mtu mzima hasemi anataka kiasi Gani ila Kapewa Bilioni 10 kakataa. Na hapo unapo ona ni maduka tu ya Wafanya Biashara ambao wame pangisha na Wana endelea na biashara zao. Hivi Kwa Mtazamo wako unahisi shida ni nini? Au Mzee ana fikiria Nini? #creatorsearchinsights #mylookalike #tiktok #viral #RIPJaydenAdams

SIMULIZI NONO AFRICA
SIMULIZI NONO AFRICA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 17:56:28 GMT
15510
128
23
4

Music

Download

Comments

mama.husna39
Mama Husna :
Ndogo Sana küa hapo
2026-08-31 12:07:43
1
salkeny4
Salkeny fashion :
ni mtu mwenye uelewa mpana sana usiangalie leo tu bali inabid uwe na jicho la mbali lenye uwezo wa kuitafakali kesho yako, usifurahie kiu ya siku moja lakin ukapata kiu ya maji ya mda mrefu. yupo katika eneo nzuri lenye manufaa makubwa zaidi akipambana kwa miaka kadhaa anaweza boresha hapo na kujipatia kipato kikubwa zaid ya hio billion 10 hongera sana mmiliki wa hilo jengo una upeo mkubwa sana wa kufikilia, mafanikio huja polepole upo katika eneo bora sana,
2026-08-31 11:33:42
2
k..issa5
K. issa :
heri kidogodogo cha miaka mingi kuliko kingi cha wakari m1
2026-08-27 14:34:51
1
kingekingemaskomb
shekh muu :
labda mchawi ndo mana amekataa
2026-07-18 14:20:40
1
wandela2006
nizzy wax :
labda aliambiwa akiuza anakufa au kunamizimu ya ukoo
2026-07-20 07:54:49
1
user2942853949252
Mr hardway :
we bil10unaijuwa wwe bil10 unajenga sheli 3na chenji ya kutosha
2026-07-31 06:05:24
2
luleclassicfurniture
Lule Classic Furniture :
apo kola mtu atambe na chake
2026-07-27 10:35:54
1
hamisiking547
Hamis King :
2026-08-21 17:05:11
0
rauhiya.fasih
Bint Ahmed :
pana kumbukumbu zake za zamani hatak zifuteke kiufupi wamsubirie kafa ndo patauzwa
2026-08-21 09:16:28
1
halima.juma42
Halima Juma :
Kapewa iyo atakufa nayo
2026-08-31 14:16:17
1
To see more videos from user @simulizi_nono_africa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About