@haytham_255: Mmetutoa katika dini mkabaki wenyewe mkatoana kwenye dini sasa dini imebaki na nani?? mnaposema hawa sio wenzetu Wenzenu ni kina nani??

Rahul Shaaban
Rahul Shaaban
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 18:16:48 GMT
2701
155
20
25

Music

Download

Comments

user72040575322671
Abuu Rihla yussuf :
mwenzetu ni yule alie shikamana na kitabu na sunna kwa ufahamu wa wema walio tangulia. si yeyote katika hao
2026-08-04 19:47:54
2
ali.seif.salami.a
Ali Seif Salami Al Riyami :
WAMBIYE HAO KENSA YA UMMA HUU💯
2026-07-25 20:13:09
3
hamismuyama
HAMIS MUYAMA :
🥰🥰🥰🥰
2026-07-16 21:39:03
3
husseinyussuf406
Lion's gate :
وَاعْتَصِمُوا بِحَبْلِ اللّهِ جَمِيعًا وَلَا تَفَرّقُوا ۚ وَاذْكُرُوا نِعْمَتَاللّهِ عَلَيْكُمْإِذْكُنْتُمْأَعْدَاءً فَأَلّفَبَيْنَقُلُوبِكُمْفَأَصْبَحْتُمْبِنِعْمَتِهِ إِخْوَانًا وَكُنْتُمْعَلَىٰ شَفَا حُفْرَةٍ مِنَالنّارِ فَأَنْقَذَكُمْمِنْهَا ۗ كَذَٰلِكَيُبَيِّنُاللّهُلَكُمْآيَاتِهِ لَعَلّكُمْتَهْتَدُونَAl-'Imran 3:103 Na shikamaneni kwa Kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarikiane. Na kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu iliyo juu yenu: vile mlivyo kuwa nyinyi kwa nyinyi maadui naye akaziunganisha nyoyo zenu; kwa neema yake mkawa ndugu. Na mlikuwa ukingoni mwa shimo la Moto, naye akakuokoeni nalo. Namna hivi Mwenyezi Mungu anakubainishieni Ishara zake ili mpate kuongoka. وَإِنّهَٰذِهِ أُمّتُكُمْأُمّةً وَاحِدَةً وَأَنَا رَبّكُمْفَاتّقُونِ Al Mu'minun 23:52-53 Na kwa yakini huu Umma wenu ni Umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu Mlezi, basi nicheni Mimi. فَتَقَطّعُوا أَمْرَهُمْبَيْنَهُمْزُبُرًا ۖ كُلّحِزْبٍ بِمَا لَدَيْهِمْفَرِحُونَLakini walikatiana jambo lao mapande mbali mbali. Kila kundi likifurahia kwa waliyo nayo.
2026-07-21 06:22:50
0
aziza.msumi
Aziza Msumi :
shukraan ustadh ❤️❤️❤️
2026-07-26 10:18:38
0
74.sheikh.ibrahim
sheikh Ibrahim Said :
hata Salafi wakiaanza kuzungumza Tu na wengine (kwajili siku za livu watoto wasiende shule) hao watawatoa watawaita Wana harakati...
2026-08-02 20:27:38
0
msanifukombo827
Msanifu Kombo :
Kweli
2026-07-26 21:58:10
0
raeightliston
Raeight Liston :
ukweli kabisa kwa wenye fikra watajua kuna ukweli ni tabia za zionist kina natanyau
2026-07-19 09:12:12
2
husseinyussuf406
Lion's gate :
Uwongofu unatoka kwa Mwenyezi Mungu peke yake. . Surah Al-Qasas 28:56 “Kwa hakika wewe humwongoi umpendaye, lakini Mwenyezi Mungu humwongoa amtakaye. Na Yeye ndiye anawajua zaidi waongokao.” . Surah Al-Kahf 18:17 “...Ambaye Mwenyezi Mungu anamwongoa basi huyo ni mwenye kuongoka. Na anaye muacha kupotea basi hutampatia mlinzi wala mwongozi.” 2. Baada ya maneno ya Mwenyezi Mungu (wahyi), hakuna kingine cha kuamini/kufuata . Surah Al-An’am 6:114 “Je, nimtafute hakimu ghairi ya Mwenyezi Mungu, naye ndiye aliye kuteremshieni Kitabu kilicho elezwa waziwazi? Na hao tulio wapa Kitabu wanajua ya kwamba kimeteremshwa na Mola wako Mlezi kwa Haki. Basi usiwe katika wanao tia shaka.” . Surah Al-Baqarah 2:120 “...Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.” . 3. Mtume au wanazuoni hawawezi kumwongoa yeyote (uwongofu ni wa Mwenyezi Mungu peke yake) Surah Al-Qasas 28:56 (tena, yenye nguvu zaidi) “Kwa hakika wewe(Muhammad) humwongoi umpendaye, lakini Mwenyezi Mungu humwongoa amtakaye. Na Yeye ndiye anawajua zaidi waongokao.” . Surah Al-Baqarah 2:272 “Si juu yako wewe kuwaongoa, lakini Mwenyezi Mungu humwongoa amtakaye...” . Aya hizi zinasisitiza kuwa uwongofu wa kweli (hidayah) uko mikononi mwa Mwenyezi Mungu peke yake. Jukumu la Mtume ni kufikisha ujumbe kwa uwazi, lakini mafanikio ya kuongoka yanatoka kwa Mwenyezi Mungu pekee.
2026-07-30 22:00:08
1
husseinyussuf406
Lion's gate :
wote hao wanao jinasibu ni ma 'Ulamaa, tiyari washaa furahia Kila mmoja kundi lake. Anae mtafuta Allah na fadhila zake, basi na arudi kwenye kitabu chake Allah SW . Ushahidi huu hapa: .
2026-07-30 21:56:21
0
taherajaffer471
taherajaffer471 :
sawa sawa
2026-07-27 07:40:38
0
muslim_kan
zarnujy atu...🥰💉💊 :
🌹🌹🌹🌹🌹
2026-08-11 18:09:25
0
To see more videos from user @haytham_255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About