@simukitaa: ZINGATIA MAMBO HAYA KABLA UJANUNUA SAMSUNG.. Mwanakitaa sikiliza video hii hadi mwisho kujua ni mambo gani unapaswa kuzingatia kabla ujanunua simu ya samsung. #Sanukakitaani #Simukitaa #ijuesimuyako #Tech #apple

Simukitaa
Simukitaa
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 18:19:26 GMT
7694
384
6
11

Music

Download

Comments

theendlesss
TheEndless :
@TheEndless:Mambo vipi SimuKitaa, Kuna inshu moja naomba uizungumzie.., Kwa sasa watu wengi tunanua simu za Samsung ambazo ni used kutoka sehemu mbalimbali (Us,UK,Korea n.k) sasa hizo simu zinachangamoto ya kutokupokea Software update kutokana zinatumika nje ya dedicated region, Swali ili tuweze kuupdate hizo simu katika latest Software tufanye nini...?
2026-07-16 18:44:17
2
jackob.mwampamba
Jackob Mwampamba Jr. :
niuzie iyo yako basi mkuu
2026-07-24 10:35:12
0
king.games.7
games :
samsung s25 unauza bei gani
2026-07-18 08:12:45
0
andrewfarayo
ANDREW FARAYO 💎 :
ukiwa unaongea Samsung huwa haupo comfortable kabisa una maneno machache sanaa ila ukutwe kwenye iphonee ni nomaa😂😂
2026-07-16 18:40:29
0
To see more videos from user @simukitaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About