@msumbanews: Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema miaka 10 ijayo wilaya ya Ludewa itakuwa kitovu cha uchumi katika mikoa ya nyanda za juu kutokana na uwekezaji katika miradi ya Liganga na Mchuchuma. Mtaka amesema hayo akizungumza na Wananchi wa Ludewa wakati wa Ziara ya Waziri wa Ofisi ya Rais anayeshughulia Maendeleo ya Vijana Dkt. Joel Nanauka. #rcnjombe #rcmtaka #njombe #njombetanzania #njombetiktok
Msumba News Blog
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 18:55:38 GMT
Music
Download
Comments
Winnie 🌼 :
Kwan ludewa Kuna Nini tujeeee n sis
2026-07-17 14:18:53
3
George Andrew :
Tuombe Mungu na wachawi washindwe Kwa jina la Yesu
2026-07-18 16:14:42
1
Elipidi Tarimo :
asante
2026-07-28 07:34:01
0
Subira :
Rc Mtaka Mungu akutunze nakuona watofauti sana katika nchi hii
2026-07-17 03:12:26
3
Delvin Maleko :
Uko vzr Mkuu.
2026-07-16 20:05:13
2
Brayson Blasius :
Kwa iyo unamanisha tuhamie ludewa
2026-07-17 09:11:25
1
lulu ngimba :
mkuuu linii uhenga
2026-07-20 00:51:37
0
Dikuru Junior :
🤣 Njombe Ludewa...Geita katoroo.....RC Mkata ni 🏋🏽♂️🔥🙌🏾
2026-07-17 14:17:00
2
@asantedaycare_NjombeTz :
fact
2026-07-17 12:56:28
0
Jox🥹 :
nakubaliiiii sanaa
2026-07-17 03:17:05
1
restutahaule300 :
Amina kubwaa alililiii☺️
2026-07-17 18:43:26
0
Kasenene :
Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina
nani mwingine amesikia
2026-07-17 12:05:05
0
Justice wa mungu :
Rc Mtaka Mungu akutunze kwaajili ya Tanzania yetu
2026-07-18 00:56:07
0
flavy flower :
nipo mbeya nikajiwekeze ludewasasa😂
2026-07-17 17:31:40
0
Ciborg 🥺 :
ngoja mwezi ujao nitembee rudewa ni nikanunue aridhi 😳
2026-07-16 20:51:24
2
🫡🇮🇱JAMES🌹👑🌹HAULE 🇹🇿⚡🥰 :
🥰nyumbani kumeanza kunoga sasa🥰
2026-07-16 20:09:25
0
SELESTIN PLUMBINGS 42 :
tununue nondo tz
2026-07-17 05:59:43
0
gasper heleli :
nakukubalisana rc mtaka natamani ujeuwe mkuwamkoa morogoro
2026-07-17 09:16:15
0
Adesol❤️ :
@marryannah19 Aya mmefikiwaa sasa
2026-07-17 07:40:14
2
To see more videos from user @msumbanews, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.