kama haujawai kuumizwa na ndugu, huu wimbo, huwezi kuuelewa
2026-07-17 07:42:39
98
lness namwai :
l love you so mach
2026-08-04 04:34:11
0
Aggy actress :
we kimbilio lako ni polisi so Mungu tena
2026-07-28 07:11:43
16
Derrick meru kenya :
I WAS IN A COURT CASE FROM 2021 AUGUST TO 2025 DEC..NI KWELI HUU WIMBO UNANIKUMBUSHA KILA MTU ALINIACHA,,MARAFIKI FAMILIA🥺🥺ONLY MY MOM WAS LEFT..POLENI MNAOPITIA HALI KAMA HIYO😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-07-17 07:55:00
80
Success Beckie wa Bobi. :
some interpretation please, I love the song 🇺🇬
2026-07-18 04:23:16
16
Gadson E :
Ujumbe mzur hapo kwenye mavaz sasa da
2026-07-25 19:28:40
8
DERICK LUVAHA :
the name of this song please
2026-07-19 15:01:24
6
carol gift :
hi wimbo unanikumbushaga mbali nilivo straggle kimaisha ya shule 🥲
2026-07-17 10:11:04
14
aneth :
Yedu.ukubariki napenda sana huduma yako
2026-07-17 02:24:45
10
Aviyan jay :
i wish to marry her🥰🥰
2026-07-18 22:01:06
5
Emmanuel :
Amen 🙏 Amen 🙏 🙌 👏
2026-07-23 10:46:58
0
bëċkÿrösë 🇲🇾🎖mpendaamani📌 :
hii dunia kama hujawahi tengwa na watu ukabaki na yesu utaoan mwaipaja kapiga kelele ila qimbo una maana yake yesu pekeeee atakuskiza na kukubali woteeee watakukimbia
2026-07-18 14:48:12
5
zeddy b :
uu
2026-07-23 20:39:00
0
MONIKA ALEXERNDER :
Nyimbo zako zinanibariki dada
2026-07-17 09:27:38
9
mama jay :
martha it is nice
2026-07-25 09:28:49
0
Sarah Rebo :
nikweli dada
2026-07-17 17:56:54
1
princess judati :
Mungu azid kukutumia katika roho na kweli maana amekupa karama
2026-07-30 02:00:37
1
Mr.Joel Muthoka 🇰🇪 🇳🇴 :
Huu wimbo ndio ulinishikilia kwa imani mwaka 2010-2012🙏🙏
2026-07-16 20:38:55
7
jike langu :
nakupenda sana martha wangu
2026-07-29 16:14:52
1
asi :
ok
2026-07-20 05:40:48
2
AggyTanzania :
sasahv ndio naelewa hii nyimbo nilikuwa naiimbaga kama wimbo wa taifa ila yalivyonikuta sahv naota machozi😭😭😭
2026-07-21 04:57:14
4
Gracious🥂 :
uyu ndo martha tuliekuwatunamjua siyo sasaivi
2026-07-26 13:21:44
1
Nyar chogo :
I'm really blessed.. may God be with you😁
2026-07-23 19:00:45
2
Pamela kipsese :
mungu bariki huyu sasa
2026-07-17 14:49:46
1
To see more videos from user @marthamwaipaja, please go to the Tikwm
homepage.