@mb__civil__professional: Karibu kwenye Familia ya MB Civil Professionals 🏛️✨ Ujenzi wa Gorofa moja Location : 📍 Dar es salaam, Tanzania 🇹🇿 kwa Taarifa zaidi wasiliana nasi. #Tunajenga #Tunachora Tunatengeneza ubora unaodumu kwa vizazi na vizazi. Tunatoa huduma zifuatazo: ○ 📐 Ramani za Majengo: Nyumba za kisasa, ghorofa, apartments, fremu za biashara, hoteli na maghala. ○ 🏗️ Ujenzi & Ukarabati: Tunajenga na kukarabati majengo ya aina yote kwa ubora wa hali ya juu. ○ 🧠 Ushauri & Mpangilio: Ushauri wa kitaalamu wa jengo, vyumba, na mpangilio wa kiwanja chako. ○ 💪 Structural Design: Michoro ya nondo na nguvu ya jengo kwa umakini mkubwa. ○ 📒 Makadirio (BOQ): Uchambuzi sahihi wa gharama za ujenzi hadi kukamilika. ○ 🌳 Urembo wa Ndani na Nje: Interior & exterior design, pamoja na landscaping. ○ 🔎 Usimamizi & Land Surveying: Upimaji wa viwanja na usimamizi wa mafundi wenye uzoefu (mikoa yote). 📞 Wasiliana Nasi Sasa (Call/WhatsApp): 👉 0716266511 Kazi safi, haraka na kwa uaminifu mkubwa! #ujenzi #creatorsearchinsights #builderconstructioncompany
MB CIVIL PROFESSIONAL
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 19:17:57 GMT
Music
Download
Comments
Мой Faberlic :
🥰🥰🥰
2026-07-17 15:13:21
0
To see more videos from user @mb__civil__professional, please go to the Tikwm
homepage.