@kiswahilitvonline: Lamine Yamal kwasasa ndio tegemezi la pekee lililobaki kwa Ishowspeed, akiamini kwamba Lamine tumaini lao la mwisho kama mashabiki wa Ronaldo baada ya Ureno kutolewa mapema katika mashindano ya Kombe la dunia. Ishowspeed akisisitiza kwamba endapo Argentina wakashinda, yeye kama shabiki wa Ronaldo hatakuwa na cha kujitetea wala cha kusema mbele ya mashabiki wa Messi.😓😓

kiswahili Tv
kiswahili Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 19:49:44 GMT
964
28
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @kiswahilitvonline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About