@amirah5g:

amirah5g
amirah5g
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 20:37:09 GMT
160788
5017
465
392

Music

Download

Comments

khadija62198
khadija swai :
kila mtu atazeeka ni swala la muda tuu
2026-07-17 05:55:16
262
monica.alex576
Fina mkweli🙎‍♀️❤️ :
Kwan miaka hii uzee ni ugonjwa jmn wakat uzee ni neema kuna vijan wadg wanapoteza maish bila kuzifikia ndoto zao sembuse yy yote kwa yote ata km kwa kuchelewa lkn mungu amefanya kwake 🙏🙏 35 years ata ingekua 40 bado
2026-07-17 02:58:00
427
kiparas.daugher
ms-aqsa💙 :
She’s beautiful 🥰
2026-07-17 14:15:20
0
teeefxufds
tteefx :
hata mutengeneze vip tunampenda she is beuty kuliko
2026-07-17 04:02:09
109
nicerobert415
Nancy🎀 :
Haaland 🤣
2026-07-17 09:29:27
71
user5277408758501
misbah :
camera man 🤣🤣
2026-07-17 13:50:23
0
callmemadamrebby
AlwaysJoshuaMom ❤️🤍❤️ :
kwhy haitakiwi kuzeeka mnanichosha😂
2026-07-17 07:23:55
42
mumy.naylah.24
mumy naylah 24 :
ila whozu ni mvumiliv anaweza vumilia hata shida zangu
2026-07-17 05:30:07
77
lamama5466
🌺💞lamama🇹🇿 :
pajamas
2026-07-17 13:21:02
0
suzangabriel4
Suzy G. :
kwann binadamu hatupendani jamani? chuki,fitina,roho mbaya tu zinatusumbua, mwacheni dada wa watu afurahie maisha yake na family, sio vzr dhambi sn aisee!!
2026-07-17 04:39:11
60
user3003497370298
"$"HELLEN"&" :
bad behavior
2026-07-17 12:32:05
0
makunamandiefata
makunamandiefata :
Khaaa nimejikuta nacheka
2026-07-17 11:12:37
11
mamakemo34
Mamakemo china :
😁
2026-07-17 08:12:08
10
lucykazungu
It's nana :
yani hata mseme vipi uzee ni kama maji usipo kunywa utaoga haukimbiliki ni swala la muda tuu
2026-07-17 04:22:00
15
caulo8
K8 ULOMI🌸 :
Yall hating… but she’s literally living her answered prayers 🥰
2026-07-17 10:40:56
0
zenuu.stationary
Zenuu Stationary :
hivi ni kweli kazaliwa 89 huyu jaman
2026-07-17 03:12:46
21
nurulaizer132
Nuru Laizer :
bibi tena sy mamaa😁😁😁
2026-07-17 07:45:52
5
shuuuniq7
Shuu memez 💃 :
icho kicheko cha kwikwi ndo kimenichekesha zaid🤣
2026-07-17 08:46:44
5
user8551439130758
nayaah🥰🦋😍🌹🩵 :
Nimecheka sijui nacheka nini
2026-07-17 08:03:23
8
scayrasimba01
Scayra :
Haya yote anayataka badala atulie waja wamemsahau anaanza tena kuwakumbusha🤣
2026-07-16 22:58:46
17
helieth.elias6
Helieth Elias :
nilicho kuja kugundua watu wote mnampenda wema
2026-07-17 07:43:45
9
lina.mrema
Lina Mrema :
Nashindwa kwelewa
2026-07-17 11:26:44
1
salmah47696
salmah :
Acha bas
2026-07-17 10:15:42
1
To see more videos from user @amirah5g, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About