Hawa wanaupendo sana mungu atulindie nyie wasemaji wetu
2026-07-17 06:02:09
119
500me :
ahmed ally zaid 💯💯💯
2026-07-17 09:47:20
1
Salim Og Boss MtotoT :
Santos in the squad 😎
2026-07-17 14:42:13
0
officialstarkid7. :
ila awa jamaa😂😂
2026-07-17 00:44:43
45
jonathan yohana :
ila semaji
2026-07-17 04:45:35
17
Piusi Machangaa :
mpendane hvo ndo vzur
2026-07-17 05:54:26
17
mmbiki :
hawa vijana na mabalozi wazuri wa UPENDO🥰🥰
2026-07-17 03:25:21
70
J@STIN£....... :
napendaga wakikutana pamoja hawa jamaaa😂😂😂
2026-07-17 06:28:25
30
TheDon"KB"001 :
ujue hawa wakiamua kuwa ma creator wa TikTok bax clip zao ztakuw na balaaa na xoko la comedy lote wataliteka
2026-07-17 16:47:45
3
Delle ally mwalela :
Baada ya shekh wa mkoa wa dar-es-salaam kwa kuishi vizuri na jamii nzima wanaofuata ni hawa jamaa sijawahi sikia bifu la hawa jamaa ALLAH awahifadhi maana kazi huisha ilaa utu una dumu milele 🙏🙏
2026-07-17 15:20:33
4
zakancheye :
nawakubali sana Hawa jamaa penda sana🥰🥰🥰
2026-07-17 06:17:55
14
Elegance gal@01🥰 :
😂😂😂ila Ahmed ally unajua kujiamulia mamb
2026-07-17 05:25:06
14
Norah Ayo :
hahahahahahahaha
2026-07-17 08:46:20
2
davista :
😁😁😁😁😁semajiii banaa
2026-07-16 21:28:43
9
Abuu shaukan :
daah
2026-07-16 22:52:40
7
Mwana Mussa :
mnh ila Ahmed Ali
2026-07-17 06:42:18
5
Castor jr :
uyuuuu jamaaa
2026-07-17 03:22:53
5
Seleman Nsubisi Mwendilemo :
Hawa wanaujua utani wa mpira...🥰
2026-07-17 09:11:59
1
KlNGAZ🛑 :
ila
2026-07-17 08:04:18
2
Mary mloha :
nawapenda
2026-07-17 06:46:20
2
malata son 1 :
ila hawa jamam
2026-07-17 05:43:24
4
To see more videos from user @djaus_djwakusini, please go to the Tikwm
homepage.