@wizer_online_tv: Taarifa ya kusikitisha ilio tufikia muda huu mwana muziki wakizazi kipya Alie kuwa na wakilisha ebembe to the world @mr_gave_ amefariki Dunia gafla siku ya leo Kwa taarifa tulio pata ni kwamba kwamba mida ya jioni alikuwa yupo Sawa kabisaa, ilipo mida ya usiku, akawa amesikia mwili vibaya Sanaa akaomba apelekwe ku maombi hili wamuombee, baada ya kumtoa kwenye chumba cha maombi alikuwa yupo hoi sana, yaani hali ika endelea kuwa mbaya Sanaa ikabidi apelekwe ku hôpital Général ya uvira haraka, alipokuwa njiani alikuwa tayari amesha Kata roho, MR GAVE amefikishwa ndani ya hôpital général tayari amesha Kata roho WIZER TV TUNATOA POLE ZA DHATI KWA NDUGU JAMAA NA WATU WOTE WALIO GUSWA NA MSIBA HUU🙏🏼🕊️💔