@simulizimedia2: Mzee wa UPAKO kuhusu Sheikh Warid

SIMULIZI MEDIA
SIMULIZI MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 21:17:27 GMT
31122
2074
129
192

Music

Download

Comments

managerdembele0
Mustar :
Taqbiiiiiiiir...
2026-07-17 05:01:40
4
sandy.saleh46
sandy :
huyu shehe ana kitu, mbona watu wanamsemea sana yeye mwenyewe hajisemei
2026-07-17 03:57:27
30
debamkindu
Deba Mkindu :
nikwer
2026-07-17 05:07:37
0
imam.athumani
Imam Athumani :
huenda bakwata wako sahihi ila mm naona wamekuwa na haraka mno subra iko wapi?
2026-07-17 04:44:12
10
user2394693746344
user2394693746344 :
mm nimeumia sana ni catholic lkn hyu Waleed niliiuwa namuelewa
2026-07-17 03:20:27
13
abdallahsubira505
Uliweswee :
sasa kwann maadui wa Sheikh Walid wasiumie ona mpak watu ambao sio waislam bado wamuumia
2026-07-17 06:17:13
3
dishonbazila
dishonbazila :
Mm mwenyewe ni mkiristo lakini huyu shehe nimeumia kwa kutenguliwa kwake ana hekima sana
2026-07-17 04:35:19
7
dgt4524
gtz :
Viongozi wa kikristo kujihusisha na hii issue ya Shekhe Walid... NI UPENDO AU KUDAKIA MAMBO YA WENGINE???
2026-07-17 03:43:08
1
dinamakato
Dina Makato :
Sh.Walid elimu yake anawarithisha watu wengi sana Duniani na tunafaidika nayo.tunamuelewa sana
2026-07-17 05:50:03
2
hajimohamedy185
haji :
Aslam alaykum ombi langu shekh walidi asitoe neno lolote itoshe watu ndiye wasemaji wake ajizuie kabisa
2026-07-17 06:27:39
1
kingsheby03
king sheby :
kweli kabisa 👌👌👌👌
2026-07-17 05:47:58
1
rakhy656
rakhy656 :
Hakika Allah azidi kukulinda Allah ndio mpangaji🙏🙏🙏
2026-07-17 05:52:50
2
zuhura.masoud4
Zuhura Masoud :
hata wakiristo wanamkubalu mashaallah
2026-07-17 04:24:49
8
maajabu18
Maajabu18 :
hapa umeongea sahihi sana
2026-07-17 05:11:25
2
rehemafanta
Rayfact :
KWAKWELI.
2026-07-17 05:08:55
1
user95924441870245
user95924441870245 :
mi ni mkristu but nimeumia.nilikua nafuatilia mafundisho yake
2026-07-17 04:04:52
1
msangule12
Omary Msangule :
watu wote tumeumia ndio ujue uyo nimtu wawatu
2026-07-17 04:05:44
1
rashidkhalifaabda
Rashid khalifa abdallah :
huyu mzee WA upako hua anaongea kweli kabisaaa
2026-07-16 22:45:46
2
durak_tz
Durak_ tz :
Elimu yenye manufaa ni urithi bora. Allah amlinde na ambariki Sheikh Waled.
2026-07-17 02:32:46
4
user600129974764
user600129974764 :
kabisa ume sema baba angu
2026-07-17 02:51:02
2
joventjohansenmushwaimi
Jovent Mugisha Mushwaimi :
Naam bila shaka kabisaaa ni mtu sana
2026-07-17 04:52:14
1
user2740986578432
user2740986578432 :
kweli kabisa tunaitaji awe shee mkuu kabisa
2026-07-17 02:35:01
2
mariam.lily4
mariam lily :
tuliambiwa tuwe wenye kusubiri,maana aliekamilika ni mungu peke yake tu na si mwanadamu
2026-07-17 05:17:45
1
udnah7
Udnah :
kwel kabisa
2026-07-16 22:32:13
1
me990723
Me. :
subhanna llah mwenyezi Mungu amhifadh ubora wake unadhilisha na mwenyezi Mungu atampa taji lake na wanafiki watafaidika tu mimi naamini mwenyezi Mungu anataka kumpa daraja zaidi ya hilo na mwenyezi Mungu amempa mtihani ili awajuwe wazuri wake na wabaya wake lakini pia matunzo juu yake mwenyezi Mungu amuhifadhi shekhe ward dam ya mwenyezi Mungu hiyooo Tuseme woote Alhamdulillah salama
2026-07-17 05:04:34
1
To see more videos from user @simulizimedia2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About