Ndio maana niko na follower mmoja and am very much ok😂😂😂
2026-07-17 13:49:41
4
Philice 🇰🇪✨ :
Wenye hatuchangi kuja tusome comments za wale huchanga vile wamecatch mafeelings🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-17 06:05:14
195
🥵kwamboka🥰 :
mimi hadi following ndio siwezi😂😂eti sasa nawafollow na yy anifollow back never😂😂😂😂
2026-07-17 03:55:38
89
Ney :
huyu hajafika stage yakutusi gifters.Anaona watu wakitusi gifters anafuata those have build even personal relationships with gifters akitusi mmoja anajua bado ako na 50more.
2026-07-17 17:08:54
0
JOIE 🇰🇪 :
achana na kuchangaa mimi hata kufollow mtu SIWEZII😂😂😂
2026-07-17 06:58:33
67
Moh Reenah :
uzuri huwa sichangi😂..Acha Tu nisome comments 😂😂
2026-07-17 05:28:58
67
Carolina :
Wachangi halloooo! ndio mskie
2026-07-17 15:09:56
0
Eunice waise :
i never feel bad because mm sijawahi changia mtu and I can't
2026-07-17 04:42:00
25
JackeeAllyson :
Acha mtusiwe muache kuwagift
2026-07-17 06:18:38
47
Taylor💞💞 :
siezi ata tuma ka rose mm
2026-07-17 13:35:35
0
sarataly💓💓 :
wueh that's why nilikunfollow
2026-07-17 05:03:39
6
Yvonne ❤️ :
mi hushangaa sana na watu hutumia watu pesa huku TikTok,wengine wao wazazi wanateseka sana wanahitaji tu hiyo mia unatumia mtu then baadae anakuambia sikukuitisha mchango,,Mimi heri hiyo pesa nitumie mamangu 😳
2026-07-17 05:43:48
10
🕉️💜💜LOVE DONOR 💜💜🕉️ :
Tunaongelelea Nani guys😹😹😹😹
2026-07-16 22:28:52
7
Salma bakari :
yaaani kuchanga yote nkununua juice anyway sijawai changa
2026-07-17 01:09:27
7
Sheila moraa :
mimi naye ndo maana siwezi changa pesa yangu wacha ninunue body con nivae na hii tumbo yangu
2026-07-17 04:25:13
7
🦋🌺🌸Lynn🌸🌺🦋 :
Mimi Wacha kuchanga...ata kukufollow nijikute
2026-07-17 11:08:29
3
💞 :
cjui MBNA huwa mwagift hawa😂😂😂....hayaa mnipe n mm bac😂
2026-07-17 07:15:26
2
reeny1beautician :
lakini sio poa
2026-07-17 06:24:32
2
perpe :
Wacha kukasirikia watu annita Kwa kwamba twangonjea namba 2 ni chichi na chichi hanaga kiburi
2026-07-17 11:56:58
0
Rose🌹 :
70/70
2026-07-17 02:19:02
1
Miss P💜 :
acha nifinye unfollow eeei
2026-07-17 06:38:22
3
To see more videos from user @tiktoktrends_tk1, please go to the Tikwm
homepage.