@davimess26: Mtoko wa faianali tutatoka hivi wana katalunya mana Wote ni zao la Lamasia na hatuko tayali kuona mmoja akihuzunika kukosa sapori wote tunawapenda .😀 Lamine yamal anatufanya tutembee kifua mbele kwa sasa na kizazi kijacho bado atakisumbua wakati huo huo inajulikana kabisa kama messi ndio ametufanya tuipende barca kwahiyo naye hatutaki kumuona mpweke kabisa Tukonao bega kwa bega atakaye tolewa baasi Au naongopa wanangu wa Lamasia ?.