@simulizi_zakiislamu: 🔥 Je, unajua kwamba hata watu wa Motoni, baada ya muda mrefu, hawataomba tena watolewe humo? Watataka jambo moja tu... Ni jambo gani? Hii ni sehemu fupi tu ya simulizi. Tazama simulizi kamili kwenye YouTube kupitia AR RAHMA TV, ambapo utapata maelezo yanayotokana na Qur'an Tukufu na Sunnah sahihi kuhusu Jahannam. ▶️ Full video ipo kwenye YouTube: AR RAHMA TV #Jahannam #SimuliziZaKiislamu #ARRAHMATV #Islam #Quran