huyu ana uwezo mkubwa sana na haya MAJARIBU yamekuja kumpandisha sio kumdhoofisha yatapita inshaallah
2026-07-17 06:34:31
15
pretty sharly 💞 :
hili alilisema kabla MashaAllah 😍😍
2026-07-17 05:12:26
53
JSM " Le roi de la theatre" :
Prof. Walid Kawambwa..👌
2026-07-17 04:29:36
40
ttm2 :
shekhe wa maana kuliko viongoz wte wa sisiemu
2026-07-17 05:18:18
37
Filbert Masegese :
natamani namm niwe na hekimaaa kama huyu jamaaa la sivyo mahusiano yangu ntaacha ndala
2026-07-17 05:42:57
17
Trionea swags :
Yupo so wise,marshaalah❤️❤️
2026-07-17 07:01:35
0
Umufahad Mdachi :
nakupenda kwa ajili ya Allah sheikh walid allah akuzidishiee iman thabit
2026-07-17 05:20:56
16
user2753836663656 Paroko :
umenifilisi mkuu yaani yameniingia 🙏🙏
2026-07-17 05:54:28
2
Rocky11 :
Mmi Ni Mkristo Lakni Shekh ninakukubalii sana sna
2026-07-17 06:07:22
9
lerumaswedimsuya :
jazak allakh kheir
2026-07-17 05:52:21
0
UONGO MWIKO :
Mbegu ikifa inachepua, nimemfahamu huyu jamaa baada ya kashfa na nimempenda.
2026-07-17 05:46:46
15
urassag :
you are wise na your father was wise be blessed sheikh waridi
2026-07-17 06:38:21
3
Da pilly :
hii ndiyo kauli anayo tumia wakati huu Allah atujaliye Subra maana ni kipindi kigumu 😭
2026-07-17 06:14:29
5
ummuabumami :
Sheikh walid tunu ya umma wa kiisilamu lilotokea ilkua kipimo cha umma kujuzwa nafasi yke kwetu Allah Ampe afya na swiha njema amvishe taji zaidi alovuliwa abal ruuhy
2026-07-17 04:43:34
11
ZM :
ALLAH akuswamehe ulipokosea ni binaadam simkamilifu
2026-07-17 01:30:23
12
Kh Ch M :
Inaonekana yalianza zamani alikua anaeleza ila hukiria kwake tu
2026-07-17 05:22:15
6
Ally Mnyani :
ujumbe jadiid sana huu! ahsantum, Sheikh al Walid; nakuombea Allah aendelee kukuhifadh na kukurehem lnShaAllah!
2026-07-17 05:43:34
5
Double T-Classic-wear :
hili nimechukua
2026-07-17 06:46:05
2
mrs manta :
Alafu kuna watu wanaumia kisa si tunaumia
2026-07-17 07:14:27
1
@Aysha_henna :
sema huyu sheikh namuelew sana kaul zk
2026-07-17 06:09:31
4
Ibrahim Diwan :
SHEIKH ALIKUA MBELE YA MUDA SAN, NA ANAISH KTK NASAHA ZAKE, MASHALLAH
2026-07-17 06:55:04
3
To see more videos from user @chief_maalim_mpiri1, please go to the Tikwm
homepage.