@nyebowsa_media: Safari inaanza huko Hadaro, Katamba katikati Mwa Nchi ya Ethiopia kibongobongo unaweza sema Dodoma, ilikuwa ni asubuhi ya kipekee kwani hata mazingira yalisawili hilo sio binadamu tu bali, hata wanyama na ndege angani walikuwa tayari kuilaki siku mpya yenye matumaini makubwa Katikati ya utulivu huo ndipo mtengeneza maudhui mashuhuri huko Nchini Ethiopia, Misiker Kebede akaitumia vyema sanaa yake kwa kusogeza lensi ya kamera yake na kupiga picha kwa usahihi wa hali ya juu. Bila hata kujua matokeo yake yangekwenda kubadili nini Duniani yaani hakufikiria kabisa kuhusu Umaarufu Kumbe, ule ndio ulikuwa mwanzo wa ulimwengu kuzinduka na kutambua uwepo wa hazina iliyofichika. Kamera ilimulika urembo wa asili usiojua kemikali, wanja, wala aina yoyote ya vipodozi vya kisasa. Japo muonekano na mazingira yake yalisanifu dhiki lakini bado umaskini haukuwa na nguvu ya kuficha urembo wake wa kipekee, urembo uliorandwa na haiba ya aibu na unyenyekevu wa Kibinti. Ndipo Ulimwemngu ukamvika joho la ushindi na kumuita Black Diamond ilihali jina lake halisi ni Elisabeth Desta Binti ambaye ameuvutia Ulimwengu kwa aina ya urembo wake wa kipekee #nyebowsamedia #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok #eastafrica #viral
Nyebowsa_Media
Region: TZ
Friday 17 July 2026 01:59:34 GMT
Music
Download
Comments
OBAMA EMMANUEL :
you beautiful
2026-07-19 12:38:27
0
dae :
so cute
2026-07-19 01:23:34
0
producer :
she is beautiful girl
2026-07-18 17:39:13
0
SO.Ryd🥰🥰🥰 :
she is beautiful girl
2026-07-17 18:29:04
0
uncle dee 😶 :
uwe unaongea wengine kusoma hatutaki tunachoka hasa sisi wanene 😂
2026-07-17 12:13:52
275
Dr Benard 🦷 :
Hiyo ndo black beauty
2026-07-18 17:27:23
1
vinny Reels :
Af kwann useme unawez sema dodoma nimekumind 😂😂
2026-07-17 08:47:49
95
sheyla :
Kwa mbali kam tayler
2026-07-17 07:44:33
171
Nassy 👑 :
Hat Mimi ni mzur xema2 xjapigwa picha 😂
2026-07-18 06:39:11
27
Amoure❤️🌹 :
Wakati wa mungu ukifika hakuna mtu atakaye utenguwa🤲🤲
2026-07-17 07:35:14
146
Suzan Mollel♥️ :
She's the definition of BEAUTY🖤💋
2026-07-18 07:36:34
2
Arafacute :
Tatizo finishing😁😁
2026-07-17 13:23:35
38
mwana wa Mungu 100% :
kazurii kenyewee
2026-07-17 06:12:13
35
baby girl 🥰 :
always black is beauty 🥰
2026-07-17 13:49:06
11
Ms Naa :
mbona kama kafanana na me jmn
2026-07-17 10:46:09
11
Nouswey :
Huku kwetu Kyela, mbeya wako wengi sana 🥰
2026-07-17 12:26:47
21
furahininicodem@gmail :
njoon nahuku njombe jmn tupo
2026-07-17 08:48:18
11
salunine 09 :
Ni mzurii akitunzwa anafaa kuwa WIfe future material
2026-07-18 12:48:23
5
Martha anoldy :
hii ndoile inasemaga alipangalo mungu binadamu hawez kupinga
2026-07-17 15:38:55
11
risymbise :
da kweli mrembo sana
2026-07-17 08:06:26
12
Ramona :
KAZURI MNOO,YAANI KUNA NAMNA KANAWEZA TOKA KIMAISHA KWA HII TREND,TUPO HAPA🥰
2026-07-17 06:59:21
17
mijaa :
ila nmeamn hata ukptia shida usimsahau mungu kila mtu ana cku yke y kufnkiw 🥰🥰
2026-07-17 11:57:22
6
minahrock🇿🇦🇿🇦🇿🇦 :
wallah kazur sana jamn khaa
2026-07-17 07:31:17
8
jodena🥰 :
wakati wa Mungu ukifika ata chujio litabebaa maji kwa ajili yakoo
2026-07-17 07:49:22
27
Amiri😻😻 :
the bible says..when the time is right..I the lord will make it happen for you
2026-07-17 07:36:59
7
To see more videos from user @nyebowsa_media, please go to the Tikwm
homepage.