@single_republic: Sikiliza Mwàzo Mwisho Gisi WASWAHILI Wa BUYENZI Walivyo Pambania Uhuru Wa BURUNDI🇧🇮 #singlerepublic👽 #burundiswahili🇧🇮 #burunditiktok🇧🇮 #singlerepublic
Hio étage 14 namba 6 buyenzi 🥳🥳 nimewahi kueshi apo
2026-07-17 12:19:43
7
bkryere :
Mze Mngetumia Kirundi Kwa Iyi Inchi barundi Buyenzi Tungepata power hawatuelewi kwasababu lugha Yakirundi Hatutaki kuyitumia Ili Ayo unazungumza wayaelewe yakotoka kwako mwenyewe ilo nazani nishida Inashindwa tukutanisha sisi watu wa Buyenzi na Gouvenement ya Burundi 🇧🇮
2026-07-18 16:38:47
0
Jenas :
Mimi ndo nilikuwa chauffeur wa Rwagasore miaka iyo
2026-07-17 20:40:31
1
bubus afrika 🇿🇦🇧🇮 :
Upewe eshima mze wetu ❤️❤️❤️
2026-07-17 07:59:17
4
MO-ZA :
Wa toto wa buyenzi like apa tujuwane
2026-07-20 20:11:57
1
Kauthar Masudi :
Buyenzi njo nyumbani✌️🥰
2026-07-17 09:47:24
2
user9900691113245 :
mimi ndie nilikuwa mkuu wa majeshi
2026-07-18 07:52:42
1
Aisha.riss :
office yao walikuwa wanakutania apo ku 14 number 6
2026-07-17 20:28:26
0
cocohefel :
Buyenzi yetu walikuwa watusahau ukweli uyo
2026-07-19 12:58:32
0
mb fara jay :
pole Sana mzee
2026-07-17 21:42:50
0
Liesse4 🦋 :
🤣🤣🤣🤣jaman buyenzi ten
2026-07-18 08:01:17
0
abcd :
wazee wetu mlijitahidi sana lakini kuna mambo mengi mlikosea na ndio mana tumefika hapa tulipo.
ila juhudi zenu tuna ziheshim sana.
2026-07-17 12:05:01
0
Roger a :
buyenzi ndio nyumbani kwetu tulipozaliwa.basi tujuwane watoto wa buyenzi
2026-07-18 06:59:47
0
Aisha.riss :
babu yangu mzee salum diki bichuka Alifia apo kwenye iyo politic
baba yangu salum nae pia kwakweli
2026-07-17 20:26:38
0
Black Mamba :
Kilichowaponza Wazeewetu Masomo na walipinga kusoma ju masomoyote yalikuwa ni ya catholique