@victor_mwambene: ๐Ÿ’ฐ HATIFUNGANI: Njia ya Uhakika ya Kukuza Pesa Yako! Je, umewahi kujiuliza matajiri wanawekeza wapi pesa zao ili zizae faida bila hofu ya kupoteza? ๐Ÿค” . Hatifungani (Bonds) ni mojawapo ya njia salama na za uhakika za uwekezaji, Unapata riba ya uhakika kila baada ya kipindi maalum, huku mtaji wako ukiwa salama. ๐Ÿ“ˆ. Sasa kwa kutambua Umuhimu wa elimu hii tumekuandalia Mafunzo kwa njia ya Mtandao . Kama ungependa kujifunza kwa kina zaidi kuhusu Uwekezaji wa Hatifungani? Tunakukaribisha kwenye Mafunzo ya Uwekezaji wa Hatifungani yanayoendeshwa kwa njia ya Mtandao (Online), popote ulipo! ๐ŸŒ. Utajifunza Hatifungani za Serikali na za Kampuni. . ๐Ÿ“š Katika Mafunzo haya kwa Njia ya Mtandao utajifunza: โœ… Hatifungani ni nini na zinafanyaje kazi โœ… Jinsi ya kuanza kuwekeza hata kwa mtaji mdogo โœ… Faida za uhakika unazoweza kupata โœ… Makosa ya kuepuka kabla ya kuwekeza Usikubali pesa yako ikae bila kufanya kazi โ€” jifunze kuiwekeza kwa busara! ๐Ÿ’ก . ๐Ÿ’ต GHARAMA: Tsh 40,000, Lakini ukilipa kabla ya tarehe 25 Julai, utalipa Tsh 25,000 tu! โฐ. Ofa hii ni kwa watu 40 wa Mwanzo. . ๐ŸŽ OFA MAALUM: Watu 35 wa mwanzo watapata fursa ya kujifunza Uwekezaji katika Viwanja na Nyumba BURE kabisa! ๐Ÿก๐Ÿ”ฅ. . @moneytalk_tz . ๐Ÿ“ž Kujiunga au kupata Maelezo zaidi, Piga/tuma ujumbe wa MAFUNZO kwenda 0744126640. . Nafasi ni chache โ€” chukua hatua leo na anza safari yako ya kifedha kuelekea uhuru wa kifedha! ๐Ÿš€ #Hatifungani #Uwekezaji #ElimuYaFedha #MoneyTalkTanzania #FinancialEducation Bonds UwekezajiTanzania ViwanjaNaNyumba

CFE. Victor Mwambene
CFE. Victor Mwambene
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 July 2026 04:50:45 GMT
3547
220
6
5

Music

Download

Comments

amigos6951
E90,260 :
Noted and thank
2026-07-17 06:52:55
1
edwardbraithon
Super hero?? :
super
2026-07-17 12:39:45
0
robert271517
CFE ROBERT E CHILONGOLA :
๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ
2026-07-17 05:14:55
1
To see more videos from user @victor_mwambene, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About