@prosper.william: 💥💯Siri ya KUBUMA KABISA DILI YA FEISAL KWENDA SIMBA ni kuwa inasemekana BOSI kubwa alienda na mbwembwe nyingi sana za maneno alafu ofa ya FEDHA ni ya kahawa kwa Azam FC. 💥SIKILIZA NAMNA TAJIRI ALIVYOKUWA ANAPOROMOKA MANENO UTADHANI ANATONGOZA KIGOLI WA BOMBEI🤣🤣🤣