Mungu awaweke,mnafanya kazi nzuri sanaaa ninawafatilia sanaa,naomba uzima ili Mungu anipe zawadi ya nyumba nzuri kupia mikono yenu.🔥🔥🔥
2026-07-17 10:05:20
47
GOLDEN SUKA :
unavyosema *haka kaghorofa* ni kama laki mbili eeh??🤣🙌
2026-07-17 17:53:26
11
Meggy Shuki :
My dream ni kuwa na gorofa Yaani nilale gorofani, Mungu ni mwema nimepata kampuni nitafute hela sasa
2026-07-18 04:38:36
1
Ilham Said :
mungu nijalie ata chumba 1 leo siku ya 5 sijalala kwangu kisa nadaiwa kodi mwenyew nyumba haelewi elf 45 nadhalilia wallah mungu nisaidie nam chumba kimoj tu changu nitafrah
2026-07-18 06:45:20
0
VIRGO QUEEN :
kanavost shingap nijilipue
2026-07-17 14:25:54
4
Hussein Kb :
Hii nyumba yote full ni bei gani kama hivyo imekamilika ni bei gani mkadirio
2026-07-18 08:09:18
1
Maiko :
M inamaanisha Metre au Million Boss??
2026-07-17 15:03:36
0
Aloyce Mush :
labda 24m ya kenya
2026-07-17 07:33:54
1
Joyce Ngere :
hii inaeza dondoka naogopa 🙌
2026-07-17 17:15:54
0
africa momy👄💋 :
inavyumba vingapi
2026-07-17 16:05:57
0
Marshall eagle filomena :
uongo bana hii bei
2026-07-17 16:37:59
2
Blac_ice🍦 :
cost yake shingapi
2026-07-17 06:08:52
1
Peter Peter maheto :
Hii bei kweli kiongozi ya ujenzi
2026-07-17 19:01:40
0
Manka Sarwat(ma hannah) :
hiyo ndo ys ndoto yangu
2026-07-17 15:41:07
0
mknillah2 :
nimewafolow jamani one day yes nitajenga nanyini
2026-07-17 18:46:45
0
Ms Einstein :
io total cost ni pesa ngp
2026-07-17 08:17:54
0
budagara12 :
shida mkitafutwa hamjibu kabisa
2026-07-17 13:14:08
1
S.S Electrician 👷👷🇹🇿 :
pesa ngap icho kibangaloo
2026-07-18 09:21:53
0
Yolanda :
Mungu kama hii baba
2026-07-18 09:45:27
0
nusi :
Baje ni bilion ngapi
2026-07-18 07:54:18
0
angelinabil17 :
Woow
2026-07-18 04:36:22
0
Neydomly6 :
kazuri
2026-07-18 03:58:35
0
freshness garden juice bar :
one day nitajenga ramani yenu moja
2026-07-18 00:11:02
0
To see more videos from user @nyumbabora, please go to the Tikwm
homepage.