tajiri iko naliya sasa sisi wenye hatuna hela tufanyeje???????
2026-07-18 08:28:47
484
RIVINUSS CHARLESS :
tubuni kwa maana ufalume wa MUNGU umekalibiya Amen🙏🙏🙏
2026-07-18 09:36:00
365
Ghost Rider😎 :
Mwamba alipo anatamani atoke lakini haiwezekani… life
2026-07-18 09:40:05
452
Yohana J. :
VIJANA WENZANGU, SHETANI ALIMUONESHA YESU FAHARI LAKINI YESU ALIKATAA ILE OFA ALIJUA NI MTEGO, SHETANI HANA RAFIKI daaah
2026-09-23 10:00:42
19
verobeautysalon :
kwa mala ya 1 najihis tajiri wa amani ya moyo. asante mungu
2026-09-23 20:22:50
9
Naël walado.2005🇨🇦×🇨🇩 💰 :
😁😁 pesa niya dunia, mungu ni wa milele ndugu yangu tu penda mungu.
2026-07-18 09:39:41
156
alpherulikaye :
Biblia inasema pesa ni jawabu la mambo yote, lakini Yesu akasema mtu atapata faida gani, mtu akipata ulimwengu wote, kisha kuiangamiza nafsi yake.
Kuimba hakuta kusaidia kama huta tubu, na kurudi kwa Mungu.
Nanilazima ukubali kuwa maskini uanze na moja pamoja na Mungu.
2026-09-21 18:16:36
9
Jérémie Rikat fils :
Amina . N’a Rizika n’a kidogo changu
2026-09-21 12:37:46
8
Martha Suzie❤️🫶 :
kwani ilikuwaje ukawa Tajiri,ni nani alikupeleka huko kubaya jmn 🥹🥹YESU NI MKUU KULIKO WAO UPATE KIBALI URUDI🙏🙏🙏
2026-09-21 07:42:20
6
tonny :
siamini mm ama naona zangu
2026-09-21 16:17:36
7
wid@ :
umeimba Kwa hisia sana broh 🔥🔥
2026-07-23 08:27:00
8
Modaha :
Sisi bado tuko magetoni
2026-09-23 15:09:19
13
Dachigospel :
ila Bado muda anao mwingi san wa kumrudia mungu, coz wapo wengi tena walifanya makufur kwa ukubw ila waliopolud bwan aliwapokea☺️👉
2026-09-22 06:25:45
17
georgeatupelege :
pastor daniely joshuan ,mmkomboeni huyu mtumishi,wakati wa mungu umefika,
2026-09-19 10:19:05
54
Prophet Elisha B Mosha. :
huyuu nii mtumishi wa Mungu kwaa wakati wake BWANA afanye hima hich nii chombo chake.
2026-09-20 19:44:24
21
grant.jr :
Pesa sio kitu Bali Amani ya moyo ndiyo kila kitu katika maisha yetu ya hapa dunian
2026-07-22 12:39:39
8
To see more videos from user @cll0792217163, please go to the Tikwm
homepage.