@mb__civil__professional: Karibu kwenye Familia ya MB Civil Professionals 🏛️✨ MODERN BUILDING Location: 📍Dar es salaam, Tanzania 🇹🇿 Kazi inayofuata Sasa ni skimming #Tunajenga #Tunachora ​Tunatengeneza ubora unaodumu kwa vizazi na vizazi. Tunatoa huduma zifuatazo: ○ ​📐 Ramani za Majengo: Nyumba za kisasa, ghorofa, apartments, fremu za biashara, hoteli na maghala. ○ ​🏗️ Ujenzi & Ukarabati: Tunajenga na kukarabati majengo ya aina yote kwa ubora wa hali ya juu. ○ ​🧠 Ushauri & Mpangilio: Ushauri wa kitaalamu wa jengo, vyumba, na mpangilio wa kiwanja chako. ○ ​💪 Structural Design: Michoro ya nondo na nguvu ya jengo kwa umakini mkubwa. ​○ 📒 Makadirio (BOQ): Uchambuzi sahihi wa gharama za ujenzi hadi kukamilika. ○ ​ 🌳 Urembo wa Ndani na Nje: Interior & exterior design, pamoja na landscaping. ○ ​🔎 Usimamizi & Land Surveying: Upimaji wa viwanja na usimamizi wa mafundi wenye uzoefu (mikoa yote). ​📞 Wasiliana Nasi Sasa (Call/WhatsApp): 👉 0716266511 Kazi safi, haraka na kwa uaminifu mkubwa! #ujenzi #nyumbazakisasa #creatorsearchinsights

MB CIVIL PROFESSIONAL
MB CIVIL PROFESSIONAL
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 July 2026 06:34:11 GMT
33876
992
17
60

Music

Download

Comments

rhumba.26
rhumba :
mie niambiwe tu mpka hapa imetumika bei gani?
2026-08-05 05:47:13
0
thedricg92
Thedricq bin William :
hii nyumba bado finishing ila imeshakuwa karembo🤣🤣🤣
2026-07-17 09:42:42
1
anold.louis7
Anold Louis :
hii inavyumba vingap
2026-07-17 15:47:18
0
anco_rafiki
Ally Omar :
Hii ramani nzur nimeipenda naipataje
2026-07-21 18:58:42
0
gee__38
G :
Nipo arusha nawapataje?
2026-07-18 11:13:55
0
rajabmnyimwa
ramadhani maramsha :
dah nyumba imenyooka sana
2026-07-19 19:12:12
0
ceifadorsafari
ceifadorsafari :
Hizo ni njaa akuna cha ufamilia😁😁😁
2026-07-17 11:08:26
0
manbatfr
ManAndBats :
Nani aliyeijenga kwel? Maana kama nn ww ungekua na video za progess
2026-07-18 07:09:49
0
To see more videos from user @mb__civil__professional, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About