@mzalendowayesu: SIKILIZA THEN CHUKUA HATUA

MZALENDO WA YESU
MZALENDO WA YESU
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 July 2026 06:55:29 GMT
64590
5744
274
722

Music

Download

Comments

wemamedics
wema medics :
wakatoliki TUMSIFU YESU KRISTO!
2026-07-17 08:18:03
48
beth3347
strong 💪 :
mi ni mwislam ila Yuko sahih
2026-07-17 14:17:03
28
user7314484613450
Bishop Leonard leonce kajuna :
hapo huwezi kuona like nyingi, lakini uko sahii sana!
2026-07-17 07:07:35
66
samstick46
Samstick :
Aina hii ya mafundisho haijengi amani kati ya watu wa dini na madhehebu tofauti kuna siku tutaingia katika machafuko kwa sababu ya aina hii ya mafundisho
2026-07-17 16:09:48
16
cocunura
Ms cocu 🇹🇿🇭🇹 :
ivi inakuaje mtu ana enda kutubu kwenye kizimba ambacho alie kaa ndan yake ni binadamu kama wewe alafu una mwambia zambi zako zote alafu yy ndo ana kwambia kwamba umesamehewa wakati asameaye dhambi ni Mungu tu 🥺
2026-07-17 14:07:20
13
user9338872206694
suzie :
natamani sana yaani sana kushiriki kanisa ya ufufuo na uzima,natamani kweli
2026-07-17 07:15:09
25
real.ang3lx
Ang3lX :
TUMSIFU YESU KRISTO WAKATORIKI WENZANGU
2026-07-18 12:29:33
12
neemajohn231
nellyjay :
nakupenda kwasababu huwa unasema ukweli
2026-07-17 09:30:21
13
elicekaduma
elicekaduma :
baba umepiga sana
2026-07-17 09:24:27
18
rastaman5031
Rastaman :
I love the catholic Church! yeye hana papara wa hajishughulishi na visivyo vyake, ana utulivu.amepitia mapingamizi na vikwako vingi ana uzoefu,Ni moja takatifu la Mitume.
2026-07-17 12:03:56
11
hqbic9
chqz mirqcle :
upo sawa mchungaji Mungu azidi kukubaliki uweze kuisema ilo kweli.. Yesu ni Mungu100% yohana 10:30 yohana 14:6
2026-07-17 15:06:49
11
user7704167247275
[email protected] :
kweli we ni jitu la mbinguni
2026-07-17 09:29:11
14
panga081
user2992383495620 :
barikiwe san baba kuwaambia ukwel mtupu wajue wapatee kusikia na wakupona waponywe sahihi
2026-07-17 12:06:23
14
shabanimeshack0
MCH: MESHACK SELEMANI :
changamoto ukweli huleta hasila nao wapoteayo na ndiyo wanaochukia Nao huu ndiyo ukweli
2026-07-18 07:46:56
11
olle.samberu
@OLLE SAMBERU :
maneno magumu sana haya lakini ndo ukweli kabisa
2026-07-18 05:00:22
10
mromboaugustino
Augustino Mrombo :
Mungu atukuzwe kwa sauti ya ujasiri kama hii! Huu ni ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema.
2026-07-22 06:21:20
5
pamelabrownzimbwe
Pamela Brown :
Na ishara hizi zitafuatana nao waamio
2026-07-17 08:01:52
7
user9146746020396
Miss malundo :
Yesu akutunze sana maana hauionei haya injili, unaongea ukweli🙏
2026-07-18 17:30:14
7
tijomedia
TijoMedia Com :
kila mtu atafika mbinguni kwa imani yake, kila mtu aamini anachoamini, haya madhehebu hayatatupeleka mbingini
2026-07-24 13:02:12
3
user2853069186954
user2853069186954 :
barikiwa mnooo
2026-07-20 17:51:36
1
user2381129637946
Tito Tito :
hapa umetupa silikubwa sana
2026-07-19 07:07:43
1
akinyizade
Akinyi :
ee roho mtakatifu. have mercy upon us
2026-07-27 17:11:30
2
user8572217175676
love makes the difference :
lipi ni andiko la kuongea kwa kupayuka..........
2026-07-17 13:46:19
4
katosevelini
Kato Sevelini :
Nikweli wambie wajue
2026-07-18 08:32:15
4
user177785400697993
user177785400697993 :
Ni hivo hivo broo wara hujakosea
2026-07-18 19:11:48
1
To see more videos from user @mzalendowayesu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About