@sheikh_walid_alhad_tv: WAALIM WA MADRASA MSIJIDHARAU DARAJA YENU NI KUBWA SANA KWAKUA WAALIM WA QUR-AN TUKUFU #tiktokindia #videotrendingviral #videoviral #tanzania
toa namba sheikh wanguuuuu !! watu wanataka kukuletea pesa !! tunataka kumalizia huo mskiti tujenge na chuo kingine cha kiislam. tunataka kurudi kwa kishindo mara hii😁. tunataka kurudisha kwa nguvu mpya na ari mpyaaa na kadi mpyaa !! tunataka kufanya Harambee ya ,mayatima wajane maskini wagonjwa wanafunzi waliokosa kusomeshwa wakulima . tunatudi kwa kishindo😁
2026-07-17 09:13:11
28
landscape architect 🙃 :
sahihi binafc nimehifadh suratil yaasin mwenyw pasi na mwalim sabb ya kuisoma saan
2026-07-18 04:33:23
8
madamebalozi07_ :
Account binafs ya sheikh jamani
2026-07-17 09:57:35
4
🌹cuttey_eydar🌹 :
tupo pamoja sheikh wetu
2026-07-17 10:25:04
8
ukhty :
Mashaallah.. Pepo yako ipo tunakupenda Sana na tunakuhitaji
2026-07-17 12:30:46
4
Salama Hussein💋 :
mashaallsh
2026-07-17 08:51:39
2
#Bitwa :
alhadhulillah
2026-07-17 07:47:39
3
nashi :
Tunakupenda sana walid wallah yani ndonazidi kukupenda
2026-07-17 11:14:05
2
Saidi Bakari :
Ukweli hakua tuu shekhe wa wa mkoa wa DAR bali ni shekhe wa TANZANIA NZIMA NA NCHI ZOTE ZINAZO ZUNGUMZA KISWAHILI.
2026-07-18 18:00:51
0
Mwajuma Chumamled 🥰 :
Allah ndie mjuz wa kila kitu shekhe wetu,kuwa na subra
2026-07-17 09:31:39
2
Umi Umi Halipha :
maashaallah sheikhe Allah akupe subra na Imani inshaallah
2026-07-17 11:36:14
0
othman maalim🇹🇿 :
sheikh wangu wa muda wote
2026-07-17 17:05:58
5
JECHA BAKARI :
ZANZIBAR TUKOPAMOJA NAWE SHEKHE POLE SANA KWA MTIHANI
2026-07-18 07:03:47
1
INK_ :
Mimi mkristo ila huwezi amini nilikuwa namfatili shekhe uyu baraha ana story zake zinafunza sana katika maisha hasa Kwa sisi vijana kiukweli Mimi nimeumia kuona katolewa
2026-07-18 07:46:51
2
Maliki kudeli :
mashaallah shekhe wangu najifunza mengi sana kwako
2026-07-18 14:06:43
1
Warda Shaaban :
kwanza miukisoma kuruan ndo unaponikosha🥰🥰🥰
2026-07-17 18:46:27
2
FADHY_Fadhy :
Sheikh wetu popote ulipo tupo
2026-07-18 07:10:44
1
Shehe dawa :
mashallah
2026-07-17 08:50:28
1
white furniture :
ishaahaallh MUNGU atujalie mwisho mwema
2026-07-17 12:59:30
1
@madee516🇹🇿🇹🇿 :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-25 18:38:14
0
omary juma :
mungu yupo nawe shehe
2026-07-22 15:53:09
0
Amina Nandinge :
maanshallah
2026-07-22 06:42:37
0
Shafii Rashidi doktor :
haswaa mungu humpenda ampendae
2026-07-21 05:33:57
0
dr.mopower.com :
@dr.mopower.com:"The LORD will fight for you; you need only to be still." — Exodus 14:14
"BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya." — Kutoka (Exodus) 14:14
2026-07-23 06:05:21
0
shadrack mahinda :
mashaallah
2026-07-17 07:20:04
1
To see more videos from user @sheikh_walid_alhad_tv, please go to the Tikwm
homepage.