@afotune: Jifunze kitu kupitia hoja hii

Afotune
Afotune
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 July 2026 07:33:45 GMT
57990
3316
59
107

Music

Download

Comments

wayfanhos0
wayfanhos :
one like for him
2026-07-18 09:53:58
1
nassoro.mkwanje
Nassoro Mkwanje :
we are colonial mindsets
2026-07-18 07:41:22
0
johnsy_17x1
OG_JOHNSY :
😂😂😂😂 Chelsea
2026-07-17 23:33:10
0
mayani.stanley
MAYANI STANLEY :
huyu mzee anaakili sana ila Sasa wanao taka kumuelewa ndo hawapo
2026-07-17 07:47:02
17
majani.ally
majani26 :
mzee ana akili sana,lakn hawajali hoja zake
2026-07-17 14:56:48
25
erickerick976
Erick Erick :
Nan alieyemuelewa mheshimiwa baada ya sisi kushea mahidi na kuku🥺🥺
2026-07-18 06:55:56
4
profile_325
Profile :
Mzee ana kitu sema ccm wananufaika na ujinga uliopo ndomana hawajali na hawahitaji mabadiliko ya kweli kwa manufaa ya vizaz vijavyo
2026-07-18 00:12:58
5
kuhanda.og
Mbunge wa TikTok 🇹🇿 :
sijawahi kukosea kukupenda baba 🥰🥰😂
2026-07-17 17:26:37
7
binti.mramba2
Binti Mramba2 :
Laiti wangemuelewa mzee haki wangefanya kitu
2026-07-17 23:33:45
3
brightonbie
Brightonbie :
Wote tukiwa tuna Elimu mtapata wapi watu wa kuwasomba kwenye malori ili tuje kwenye mikutano yenu waheshimiwa .
2026-07-18 19:22:39
1
mnyarunyarujr
mnyaru electronic :
nchi yet ingukua na wabunge kam hawa tungekua mbal💪💪
2026-07-17 09:17:59
5
dollar_sign_tz
☥ Ba Mchaga ☥ :
Uyu mzee hapewagi airtime tu ila akili yake ni kubwa sana 👏🏿🙌🏿
2026-07-18 13:06:00
1
abel.kasala.mpepo
Abel Kasala mpepo :
ni hoja nzuri sana
2026-07-19 09:05:03
0
user2260766591802
TikTok :
Huyo ndo waziri wa Technologia kwa mabadiliko ya baadae.
2026-07-18 08:43:04
0
amenyejackson
Amenye Jackson Mwakipesile :
huyu mzee akili ni nyingi mnoo
2026-07-18 21:07:45
0
charlesclaud128
Claus :
mbona kama anaongea mambo ambayo yakifanyiwa kazi Teknolojia yetu inaweza kukuwa ka kasi ya mwanga
2026-07-18 16:22:23
0
ummy.abdullah5
Ummy Abdullah :
wambie kaka
2026-07-18 13:12:06
0
melele.alluminium
Melele alluminium & Glasses :
mzee ana akili sana sijui ni AI yaan me nashindwa kuelewa
2026-07-17 22:13:34
1
sungamoyo.waryoba
Sungamoyo Waryoba :
daaa huyu mzee alitakiwa kuwa waziri wa elimu😂😂😂
2026-07-17 16:45:59
7
mariamu.bakari77
Mariamu Bakari :
Nimekupitisha uwe wazir wa elimu mzee wangu🥰🥰🥰🥰
2026-07-17 09:10:45
1
14_store3
@14_store :
Ata katiba ilipoletwa dunia haikuwa hii
2026-07-18 08:13:17
0
issackmbembati0
ISSACK MBEMBATI :
nice
2026-07-17 13:43:45
1
wamburamichael95
Wambura Michael :
heche akitwambia watoto wetu wanafundishwa taka taka tuwe tunaerew jamani
2026-07-19 21:52:36
0
mekumeku88
meku meku :
yaani jamaa kwenye elimu anajua sana
2026-07-18 08:11:53
0
innocentisdory
Innocent Isdory :
akili kubwa sanaaa
2026-07-17 07:49:40
0
To see more videos from user @afotune, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About